BAHARI J
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 930
- 1,151
Baharia Wa Buza, Vizuri mkuu ungeweka na bei ingekuwa vizuri zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carina ilitakiwa iwe namba moja
Ford ranger?
Top ten yangu
1. IST
2. Raum
3.Vitz
4.Spacio
5.Noah
6.Rav4
7.Harrier
8.Starlet
9.Allex
10.TI
sanaa Kwenye orodha ya watu nnaowajua wenye magari basi kama ni 10 , 8 wote wana Xtrail & harrier
11 suzuki escudoUkweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi.
Watanzania wengi kwa mwaka huu inaonekana wamechagua gari ambalo halitumii sana mafuta, gharama yake kwenye kulitunza ikiwemo service ni ndogo lakini jingine muhimu ni kwamba linahimili shida za barabara mbovu.
Hii hapa chini ni orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania.
![]()
10. Subaru forester
![]()
9. Subaru impreza
![]()
8. Toyota Raum
![]()
7. Toyota Ractis
![]()
6. Toyota Corolla Spacio
![]()
5. Toyota Premio
![]()
4. Toyota Alphard
![]()
3. Toyota Harrier
![]()
2. Toyota Crown
![]()
1. Toyota IST
Kwenye kila gari 10 barabarani Noah ziko mbili. Top two ni IST halafu Noah
Kuliko ist?Carina ilitakiwa iwe namba moja
Unaongelea mwaka gani hapa?No.11 Verossa.
2019 from 01st January...Unaongelea mwaka gani hapa?
2019 from 01st January...
Sawa wewe uliko siko niliko mimi,huku niliko mimi ndio zimenunuliwa 2019...Verossa ilinunuliwa sana huko 2012 kurudi nyuma na sio miaka hii.
Daah huko itakua sitimbi aisee.Sawa wewe uliko siko niliko mimi,huku niliko mimi ndio zimenunuliwa 2019...
Sasa Hiyo Kluger Ina Tofauti Gani na HarrierKwenye list kama hiyo huwezi ona Kluger au Prado