Magari 10 yanayonunuliwa sana na Watanzania

Magari 10 yanayonunuliwa sana na Watanzania

My list
1. IST
2. Harrier
3. Vitz
4. Passo
5. Corolla
6. Carina TI
7. Clugger
8. Rav 4
9. Alteza
10. Prado
 
Sawa wewe uliko siko niliko mimi,huku niliko mimi ndio zimenunuliwa 2019...

Huko matopeni uliko sio dar ndg hapa tunaongelea Tanzania nzima
Verosa ya mwisho kuona ni no C
Hapa tunaongelea gari za DP kuja mpk DS sio hizo used za huko matopeni kwenu
 
My list
1. IST
2. Harrier
3. Vitz
4. Passo
5. Corolla
6. Carina TI
7. Clugger
8. Rav 4
9. Alteza
10. Prado

Mnashindwa kuielewa list ya jamaa
Hajaongelea magari ambayo yapo mengi kwa Tanzania hapana
Kaongelea gari zilizonunuliwa kwa wingi kwa mwka 2019
Hapo tunaongelea Plate no DPT mpk DSB sasa ukiangalia hapo hutaona hizo takataka zako ulizoandika sijui Carina/Alteza na zingine
Mimi nina kampun ya clearing so tunatoa magari najua magar yaliotoka saja mwaka huu
List ya jamaa iko sahihi 100%
 
Heading inasema 'orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania.'

Na sio gari uliyoiona mtaani yenye usajili mpya.
Huku niliko ndo idadi ninayopishaña nayo kwa wingi
1.altezza
2.harrier/Lexus
3.Noah
4.spacio
5.kluger
6.
.:
:
 
Huko matopeni uliko sio dar ndg hapa tunaongelea Tanzania nzima
Verosa ya mwisho kuona ni no C
Hapa tunaongelea gari za DP kuja mpk DS sio hizo used za huko matopeni kwenu
Sawa mkuu,usilolijua ni sawa na usiku wa giza,hongera sana kwa kuishi Dar...
 
Gari hapo mbili Tu Jumlisha na Subaru na premio kidogooo!
 
Subaru zote 2 apo zipo
Kule gari ya miaka minne nyuma hairuhusiwi kua road hizo gari zote hakuna hata moja ya mwaka 2014. Kule gari ya zaman kwa sasa ni 2016. Mfano mwangalie mbwana samatta wanatumia range rover velar ya mwaka 2018
 
Mnashindwa kuielewa list ya jamaa
Hajaongelea magari ambayo yapo mengi kwa Tanzania hapana
Kaongelea gari zilizonunuliwa kwa wingi kwa mwka 2019
Hapo tunaongelea Plate no DPT mpk DSB sasa ukiangalia hapo hutaona hizo takataka zako ulizoandika sijui Carina/Alteza na zingine
Mimi nina kampun ya clearing so tunatoa magari najua magar yaliotoka saja mwaka huu
List ya jamaa iko sahihi 100%
Brevis nayo haipo?
 
Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi.

Watanzania wengi kwa mwaka huu inaonekana wamechagua gari ambalo halitumii sana mafuta, gharama yake kwenye kulitunza ikiwemo service ni ndogo lakini jingine muhimu ni kwamba linahimili shida za barabara mbovu.

Hii hapa chini ni orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania.

FORE.jpg

10. Subaru forester

IMPE.jpg

9. Subaru impreza

RAUM.jpg

8. Toyota Raum

RAC.jpg

7. Toyota Ractis

sp.jpg

6. Toyota Corolla Spacio

premio.jpg

5. Toyota Premio

Screenshot-2019-11-11-at-09.50.26.png

4. Toyota Alphard

hr.jpg

3. Toyota Harrier

crown.jpg

2. Toyota Crown

ist.jpg

1. Toyota IST
Ist gari pendwa ya watanzania. Nimewahi fanya utafiti usio rasmi. Barabara ya ali hassan mwinyi kituo ch daadala moroko kuelekea posta. Nikasema kwa wezangu 2 tuhesabu gari zinazopita mia 250 tuone gari zipi nyingi.
Ktk gari 250 ist zilikuwa 89 na ktk hizo gari 250, 187 zilikuwa ni toyota.
 
Back
Top Bottom