mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AltezzaMwaka 2019?
NEVER.
Altezza
T 243 DRK
Sawa wewe uliko siko niliko mimi,huku niliko mimi ndio zimenunuliwa 2019...
Cc Kiduku Liloshiiiiii! hizo ni za watu maalum maana sio 'tuvyombo twa usafiri' kama alivyoorodhesha mleta mada.
inabidi uwape heshina wakubwa @kidukulilo na @beirababyboy tu.
sisi ngoja tupambane na Avon za urithi sambamba na TZ 11[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
My list
1. IST
2. Harrier
3. Vitz
4. Passo
5. Corolla
6. Carina TI
7. Clugger
8. Rav 4
9. Alteza
10. Prado
Tofauti yake ni kwamba hazinunuliwi sana au vipiSasa Hiyo Kluger Ina Tofauti Gani na Harrier
Huku niliko ndo idadi ninayopishaña nayo kwa wingiHeading inasema 'orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania.'
Na sio gari uliyoiona mtaani yenye usajili mpya.
Ford ranger?
Sawa mkuu,usilolijua ni sawa na usiku wa giza,hongera sana kwa kuishi Dar...Huko matopeni uliko sio dar ndg hapa tunaongelea Tanzania nzima
Verosa ya mwisho kuona ni no C
Hapa tunaongelea gari za DP kuja mpk DS sio hizo used za huko matopeni kwenu
Subaru zote 2 apo zipoUkienda Europe hakuna gari hata moja kati ya hizo utakayoiona barabarani hapo ndo nilijua tofauti ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea
Kule gari ya miaka minne nyuma hairuhusiwi kua road hizo gari zote hakuna hata moja ya mwaka 2014. Kule gari ya zaman kwa sasa ni 2016. Mfano mwangalie mbwana samatta wanatumia range rover velar ya mwaka 2018Subaru zote 2 apo zipo
Brevis nayo haipo?Mnashindwa kuielewa list ya jamaa
Hajaongelea magari ambayo yapo mengi kwa Tanzania hapana
Kaongelea gari zilizonunuliwa kwa wingi kwa mwka 2019
Hapo tunaongelea Plate no DPT mpk DSB sasa ukiangalia hapo hutaona hizo takataka zako ulizoandika sijui Carina/Alteza na zingine
Mimi nina kampun ya clearing so tunatoa magari najua magar yaliotoka saja mwaka huu
List ya jamaa iko sahihi 100%
Tupo wengi wala hatuwaziInauma kweny hiyo top 10 unajikuta mtu huna hata moja hapo
Ist gari pendwa ya watanzania. Nimewahi fanya utafiti usio rasmi. Barabara ya ali hassan mwinyi kituo ch daadala moroko kuelekea posta. Nikasema kwa wezangu 2 tuhesabu gari zinazopita mia 250 tuone gari zipi nyingi.Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi.
Watanzania wengi kwa mwaka huu inaonekana wamechagua gari ambalo halitumii sana mafuta, gharama yake kwenye kulitunza ikiwemo service ni ndogo lakini jingine muhimu ni kwamba linahimili shida za barabara mbovu.
Hii hapa chini ni orodha ya magari 10 yanayochaguliwa na kununuliwa kwa wingi na Watanzania.
![]()
10. Subaru forester
![]()
9. Subaru impreza
![]()
8. Toyota Raum
![]()
7. Toyota Ractis
![]()
6. Toyota Corolla Spacio
![]()
5. Toyota Premio
![]()
4. Toyota Alphard
![]()
3. Toyota Harrier
![]()
2. Toyota Crown
![]()
1. Toyota IST