Magari 24,521 yanaswa kwa malimbikizo ya faini barabarani Tanzania



Usiniambie hao wakosaji wenzio hawana the so-called ^elimu.^ Elimu pekee wasiyokuwa nayo ni kutojua kwamba inakula kwao. Punishment ni motivation mojawapo ya good behavior.
 
Take it from me, hicho kiasi alichosema huyo kamanda nusu yake imeliwa as rushwa. Imagine juzi nimesimamushwa wakakagua leseni, sijui bima, fire extinguisher, triangle [emoji668] za parking... Yaani huchomoki, usipowapa elfu 5 huchomoki..


Kwa hiyo hivi vitu ulivyotaja ^sijui nini nini^ havihitajiki, siyo!??? Which driving school did you go!???
 
Hizo wanazozifuata mpaka parking na kwenye ma-garage (wakimaanisha kwamba hawa hawajalipa zile fines) kwa msako mkali wanazipeleka wapi ? wanaongeza fine juu ya fine ?


Ndiyo maana yake. Unawalipia usafiri na kufidia muda walioupoteza!???
 
Nimecheka tu pale walipoona hawazikamati barabarani wakaamua wazitimbie kitaani[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app


^Since the bird has trained itself to fly without perching, the hunter has also learned an astute way to shoot without missing^ ~ Chinua Achebbe
 
Hujasikia kwa tulio Dar,ukifanya sherehe tu,bila kujali umefanyia nyumbani au ukumnini,mwenyekiti wa mtaa wako atakuja na mgambo na kitabu cha risiti ,lazima ulipe kodi.
Mlizidi sana na ubishoo wenu, Mara eti kuvishana pete! Mara kibinti kinatokea ukumbini eti kinatangaza kitumbo chake kinaning'inia mbele kama goma la bendi ya polisi! Mwingine nae kajaza watu nyumbani pake anafungua kidirisha na kutoa kakichwa ka mtoto eti anamtangaza amepata! Sasa mtuoneshe ubishoo wa utajiri wenu, chujio hiloo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…