Bahati nzuri gari nyingi za Europe Watz wanaagiza UK na Japan ambako usukani upo kulia.Tatizo la gari nyingi za Ulaya Usukani wake upo upande wa kushoto hivyo kuleta changamoto ya Matumizi hapa nchini
Gari imara spares zipo.Vipi kuhusu BMW 318i na 320i ni gari ambazo nazipenda sana na kila mara nazipigia mahesabu sana,uimara wake ukoje na mapungufu yake? Kuhusu spare na mafundi nahisi wapo maana siku hizi ni nyingi sana hasa DSM
Ndo sh ngapi hiyoView attachment 443027
Benz ya 2015 model zipo vizuri hizo mashine ni vile kodi yake ipo sawa na bei yake ndio maana tunakimbilia kwenye toyota hiyo gari ugusi kitu zaidi ya kumwaga oil kwa kipindi kirefu sana..
Upatikanaji wa spear kwenye hiyo touran upoje..Ila benz series C nayapenda sana. CIF cost kati ya Dolla 2750-3500, tena ya mwaka 2002-2005! Haya mazuri ni yale ya cc 1790
Pia napenda Volkswagen Touran ya mwaka 2004-2007! Zipo za cc 1380,1590 na 1980.CIF ni dollar 2500-3500!Nyingi zenye cc 1380 ndo zina bei ya Dollar 3000-3500
Hio ni INFINITY au?View attachment 443327 View attachment 443328 Ongeeni kuhusu sijui BMW, Merc.., ila mnyama huyu hapa Nissan Fuga..., ni mtamu kuliko utamu wenyewe.View attachment 443327
Touran ina spares kibao.Upatikanaji wa spear kwenye hiyo touran upoje..
Ni kweli kabsa bro watz wengi wamekariri toyotaKweli, hizo models ulizotaja zote ni nzuri. Hii tendency ya kununua Toyota tu inabidi watu wabadilike. European products ni bomba sana.
Ushaendesha hii mkuuView attachment 443327 View attachment 443328 Ongeeni kuhusu sijui BMW, Merc.., ila mnyama huyu hapa Nissan Fuga..., ni mtamu kuliko utamu wenyewe.View attachment 443327
Hapa Kigali spare nyingi sana mkuuVipi kuhusu mercedez benz c class mafundi wake na spare zinapatikana hapa bongo? Cz nina mpango wa kuagiza c class kutoka nje nisije jutia
Yap mkuu,hiyo ni infiniti!Hio ni INFINITY au?
Kumbe yako poa tatizo bei na matengenezoView attachment 443027
Benz ya 2015 model zipo vizuri hizo mashine ni vile kodi yake ipo sawa na bei yake ndio maana tunakimbilia kwenye toyota hiyo gari ugusi kitu zaidi ya kumwaga oil kwa kipindi kirefu sana..
Huyu mwenzetu anasema Nissan Fuga. Btw fuga ni cheapest version ya hio infinity.Yap mkuu,hiyo ni infiniti!
Ushaendesha hii mkuu
Hio ni INFINITY au?
Huyu mwenzetu anasema Nissan Fuga. Btw fuga ni cheapest version ya hio infinity.
Najua ndio maana nilikuuliza. Infiniti iko Superior.Mkuu ni brand name tu, In case you don’t know by now, Nissan and Infiniti share an inseparable bond. Nissan actually owns the other brand, having launched it long ago as a way to capture more of the automotive market.
Infiniti (インフィニティ Infiniti?, IPA: [inɸinʲiti]) is the luxury vehicle division of Japanese automaker Nissan. Infiniti officially started selling vehicles on November 8, 1989 in North America. The marketing network for Infiniti-branded vehicles now includes over 230 dealers in over 15 countries.[2]
Infiniti models have direct equivalents in the Japanese domestic market Nissan lineup. The Infiniti G as the Nissan Skyline sedan and coupe and previously the Nissan Primera, Infiniti M as the Nissan Fuga and previously the Nissan Leopard, Infiniti EX as the Nissan Skyline crossover, and Infiniti Q45 as the Nissan Cima.
Infiniti - Wikipedia