Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Vipi kuhusu BMW 318i na 320i ni gari ambazo nazipenda sana na kila mara nazipigia mahesabu sana,uimara wake ukoje na mapungufu yake? Kuhusu spare na mafundi nahisi wapo maana siku hizi ni nyingi sana hasa DSM
Gari imara spares zipo.
 
y51-150213-04.jpg
y51-150213-28.jpg
Ongeeni kuhusu sijui BMW, Merc.., ila mnyama huyu hapa Nissan Fuga..., ni mtamu kuliko utamu wenyewe.
y51-150213-04.jpg
 
In my experience ni gari nzuri sana kumiliki and very strong pia reliable but only if ukiwa na adabu nazo....kwenye service zake hakuna vitu vya kubadilisha ovyo...unaweza kukaa na OEM parts kwa muda mrefu sana kama ni mtunzaji mzuri
 
Ila benz series C nayapenda sana. CIF cost kati ya Dolla 2750-3500, tena ya mwaka 2002-2005! Haya mazuri ni yale ya cc 1790
Pia napenda Volkswagen Touran ya mwaka 2004-2007! Zipo za cc 1380,1590 na 1980.CIF ni dollar 2500-3500!Nyingi zenye cc 1380 ndo zina bei ya Dollar 3000-3500
Upatikanaji wa spear kwenye hiyo touran upoje..
 
Watz tumekalili sana, ujerumani wanagari ngumu sana....na ukipata ajali kubwa kuna asilimia nyingi sana ya kutoka salama kuliko gari ya mjapani....
 
Kweli, hizo models ulizotaja zote ni nzuri. Hii tendency ya kununua Toyota tu inabidi watu wabadilike. European products ni bomba sana.
Ni kweli kabsa bro watz wengi wamekariri toyota
 
Ushaendesha hii mkuu

Niliijaribu ya mshikaji wangu mmoja Japan mwezi uliopita.., ***** ile gari tamu asee asikwambie mtu., nimeendesha Mark X, crown, fuga old model, BMW 3, Merc series.., hakuna hata moja inayokamata hapo. Dude lipo stable zaidi ya stability, very comfortable, so smooth.., Aaah mamaee sikutamani kushuka. Ila bei yake ni msala. Nasubiria baada ya miaka kama 7 hivi nije ninunue model kama hii maana kwa now siwezi hata kufikiria kuligusa, naishia kula kwa mawazo tu.
 
Hio ni INFINITY au?

Ndio mkuu, Inatambulika kama infiniti M kwa Western market, ila kwa Japan wanauza kwa jina la Nissan Fuga. Tofauti ni jina tu, kila kitu same same.
Mkuu ili dude tamu bana, moja ya exucutive class sedan kwa sasa kwenye market
 
Huyu mwenzetu anasema Nissan Fuga. Btw fuga ni cheapest version ya hio infinity.

Mkuu ni brand name tu, In case you don’t know by now, Nissan and Infiniti share an inseparable bond. Nissan actually owns the other brand, having launched it long ago as a way to capture more of the automotive market.

Infiniti (インフィニティ Infiniti?, IPA: [inɸinʲiti]) is the luxury vehicle division of Japanese automaker Nissan. Infiniti officially started selling vehicles on November 8, 1989 in North America. The marketing network for Infiniti-branded vehicles now includes over 230 dealers in over 15 countries.[2]

Infiniti models have direct equivalents in the Japanese domestic market Nissan lineup. The Infiniti G as the Nissan Skyline sedan and coupe and previously the Nissan Primera, Infiniti M as the Nissan Fuga and previously the Nissan Leopard, Infiniti EX as the Nissan Skyline crossover, and Infiniti Q45 as the Nissan Cima.

Infiniti - Wikipedia
 
Najua ndio maana nilikuuliza. Infiniti iko Superior.
 
Back
Top Bottom