Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Unajua tena kama kawa perfume..., mengine yao nikikusanya weeeeeee najipanga kujipatia cha kufurahisha moyo wangu.

Ngoja wikendi hii ntapitia kwenye duka la Chanel nione wana nini kipya.

Ntapiga na picha kabisa [ya duka na vitu] halafu ntakurushia😛
 
Mkuu Isanga family so inakuwa bei gani kwa hapo SA. Its my fav. car
Mkuu Mercedes zimetengenezwa nyingi sana SA na kuuzwa sokoni nyingi sana kwa used hazina bei kubwa tatizo ni kodi ipo juu Bongo kwa toleo hilo kikokoteo cha TRA unaweza kudhani kimekosea...huku Rand 200,000 unapata hiyo Benz ni kama 37,000,000 ni model ya 2014 hiyo..
 
Ni kweli Mkuu yaani mi huwa sielewi kabisa mfumo wa TRA, Mimi nilizani wangefanya kinyume yaani gari mpya ndo kodi iwe nafuu alafu za zamani ndo kodi iwe kali kuzuia magari ya zamani lkn wao wameenda kinyume daah..
Lkn hiyo chuma hiyo one day mkuu lzm itue kwenye gereji yangu aisee
 
Mungu ni mwema utanunua tuu SA hayo bei za kawaida sana tafuta kodi tuu...ni gari hizo aisee na pia zina kinga kubwa sana pindi ukipata nalo ajali...
 
Yaah thanks sana Mkuu...
Kuna comment moja nimeona umeandika kuwa mtu akihitaji na hawezi kuja SA unaweza elewana nae ukamletea hadi tunduma sio??
 
Yaa kwa makubaliano maalumu mengi nayoleta ni Toyota Land cruiser( Hard top) hizo bila hata makubaliano maalum maana Mteja akighairi na kukupa sababu Cruiser 79 model zina soko sana tatizo Benz ni ghari na kuuza utasubiri sana hela...bora hata Fortuner linauzika Bongo...
 
Ha ha "ghali sana" imenitisha mkuu.. n way ni kujipanga mkuu ntakucheki kwa dm tuongee hizi mambo.. naona uko advanced kwa kiwango cha 4 star mkuu
 
Kwa kuongezea tu kuhusu BMW & BENZ ni kwamba mafundi wengi hapa bongo hawana ujuzi mkubwa wa kuyatengeneze wengi ni wababaishaji tu.
 
Mkuu Benz hazisumbui na kutengeneza ni rahisi sana kwa sababu sio umeme sana kama BMW na sahau Benz ikazima tuu kama Bm, Audi na mengineyo na ndio gari comfortable na ina balance sana road...tatizo ni kodi yake kubwa ila ni gari lisilo na tatizo lolote...
 
Kweli kaka Isanga, unajua watu tuna sikiliza sana maneno ya watu juu ya gari isiyo toyota... Benz sina experience nayo sana ila frankly % kubwa ya wamiliki sijawahi kuona waki lalama... mi naamini hata gari za toyota ukiwa na fundi asiyemzuri lzm ikusumbue.. yaan mi afe simba afe masai gari yangu ya 2 itakuwa Benz.. tuombe uzima
 
Nimeona aina nyingi za saloon car SA na tunazonunua zilizogongwa mnadani ila kwa saloon car Mercedes Benz ni bora zaidi na matoleo ya karibuni mengi yana cc ndogo na ulaji wa mafuta upo chini lina mapumziko na balance bara barani na pia speed ya kutosha...na hayana matatizo ya umeme kama Audi,Vw na BMW...
 
Mkuu

Una maoni gani ya kitaalam hapa....

2013 Audi A6 v. BMW 5 Series F10 LCi v. Mercedes Benz E-Class (2013 facelift)
 
Kabla hujanunua Mercedes Benz tafadhali tazama video hiyo ya Scott Kilmer.Huyu mzee ni fundi mzuri wa magari huko marekani ambaye ushauri wake unaweza ukakufaa kabla ya manunuzi .
 
mafundi wapo dar na Arusha pia spea zipo kwa dar cheki na makampuni yanayouza used spare wanazo kila kitu kuanzia milango injini,arusha utapata kila kitu Nairobi wapo agents wakubwa wa hizi models BMW,MERCEDES BENZ ,AUDI PIA UKIFANYA CHOICE ni vyema ukachagua AUDI ni muungano wa kampuni nne ikiwemo Mercedes benz ,bmw faida yake ni upatikanaji wa spea ni rahisi,
Marekebisho kidogo.
Audi sio muungano wa hizo kampuni nne ila Audi ni sehemu ya Volkswagen group
 
Sikh unaingiza bongo hiyo lazima wazee wakufuatilia transactions zako
Mkuu sasa hivi haipo hivyo maana unaweza ukawa umepewa gari huko kama zawadi na kurudi nalo wanachotaka ni kodi yao tuu...ila ukiwa nayo mengi harafu hueleweki ndio tatizo sio moja...
 
Back
Top Bottom