Magari aina ya Mark II na mrithi wake

Magari aina ya Mark II na mrithi wake

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Na Bwa. Godfrey.

Miaka a 1960 Kampuni ya Toyota ilianza kutengeneza magari aina ya TOYOTA MARK II or Two, iliendelea kutengeneza magari hayo mpk 2002 ikaona iachane nayo na kutengeneza magari ya muda mfupi, yaani short lived car ila kuziba pengo kwa haraka na kuendlea kushika soko,maana magari ya mark II ni magari yaliyotegemewa sokoni kwa biashara

Magari yaliyo tengenezwa kwa muda mfupi kuendelea na biashara wakati wakisubiri MRITHI wa Mark II, magari hayo yalikuwa
Verosa
Brevis
Cresta

Ndio maana Hakuna new models ya magari hayo tena
Ila ilipo fika mwaka 2004 Toyota kampuni ,wakaja na mrithi rasmini wa mark II ambaye ni MARK X .na TOYOTA MARK II,GX series kama GX100,110 rasimin zikafa na hazipo tena
Ambapo mpk sasa MARK x wana generation 2 tu.
Yaani 2004 mpk 2009 yaani DBA 120
2009 mpk 2019 yaani DBA 130
MARK EX ,ni bonge la gari yenye speed,na uwezo barabarani.ni gari zack kifahari kwa watu wenye muonekano,
Crown na MARK X hazina tofauti kubwa ila injini Moja na gearbox moja na spears zote sawa.
Gari hizi zina sifa kubwa ya kutotumia mafuta mengi japokuwa ni V6 imetengenezwa na direct injection na VVTI 4,
Injini Zake
3GR
4GR km zilivyo Kwenye CROWN
Gearbox zake
Zipo za gia 5
Gia 6
Gari yangu mimi ni
Year ya 2007
4GR injini
Kidogo hii ni ya kisasa angalia picha kwenye side mirror
JE UNATAKA KUJUA MATUMIZI YA OIL ZAKE?
KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZAKE?
 
Back
Top Bottom