Magari au vitanda vinavyotembea?

hizi ni changamoto za utandawazi .maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadilisha kila kitu chanzo ni sisi wenyew vijana na sio wazazi so binafsi naona hakuna cha kufanya kuzuia hii hali
 
Sitasahau siku nilijaribu kwenye ka VITZ.....basi mguu uliingia kwenye stelingi ukanasa huku unaponyeza honi mfululizo....mbaya zaidi tulikua watupu...weee......kama sio tinted ingekua balaa maana watu alishaanza kuja.

Lol u made ma day
 
Wengi wa wazazi ndo sisi hapa......
Tujiulize tu, ni lazima kuwaexpose watoto wetu kwenye huo ulimwengu wa dot com?
I have a daughter, 15 years old, hana simu na wala hakuna alichopungua, maisha yanasonga mbele. akitaka kuwasiliana na rafiki zake ananiomba simu yangu au ya babake, anaongea nao wanamaliziana anarudisha simu. Aliwahi kuomba simu nikamkalisha chini ka kumweleza pros and cons za kumiliki simu kwa umri wake, akanielewa, na hajaomba tena........
Kuna likizo mwaka jana nyumbani kwangu alikuja my sisters' daughter ambaye ni 3 years older than my daughter. Alikuwa na smart fone, ilikuwa sheshe. Mtoto saa zote yupo kwenye mtandao na kuchat. Nilifurahi tu alipoondoka my daughter aliniambia I am right kutompa simu kwa sasa......
Wazazi wengi tuna mchango mkubwa sana kujenga au kusaidia kuweka nyenzo kubomoa maisha ya watoto wetu. Tunadhani tunawapenda sana watoti wetu kumbe tunawasaidia kuwabomoa.
Mniamini, makosa ambayo watoto wanayafanya wenyewe, kwa jitihada zao huwa wanayajutia sana kuliko yale wanayoyafanya kwa kusaidiwa na wazazi wao.
 
Sitasahau siku nilijaribu kwenye ka VITZ.....basi mguu uliingia kwenye stelingi ukanasa huku unaponyeza honi mfululizo....mbaya zaidi tulikua watupu...weee......kama sio tinted ingekua balaa maana watu alishaanza kuja.
ha ha ha umenichekesha sana!!
 
Bado kuna maeneo ambayo mila na desturi zinaheshimiwa maana watu wenye magari ni wachache ikilinganishwa na wasio nayo. Hata hivyo, kinachotakiwa ni jamii nzima kukemea mambo hayo kila yanapoonekana kutendeka. Ukikutana na watu wanatenda jambo hli sehemu ambayo sio mahali pake, ita watu mtembeze mkong'oto kwa sana. charminglady, ni kweli kwamba mila za kule nyumbani hazipo tena ?
 
Last edited by a moderator:

dah...ungekuwa hujaolewa i wuld have done everything to make u my wife. yaani umeongea point balaa. hongera.
 
Sitasahau siku nilijaribu kwenye ka VITZ.....basi mguu uliingia kwenye stelingi ukanasa huku unaponyeza honi mfululizo....mbaya zaidi tulikua watupu...weee......kama sio tinted ingekua balaa maana watu alishaanza kuja.

You are nuts and ahalf. Lol
Kongosho achana na hiyo sex kwenye gari, jikite kwenye nini tufanye parents ili kukumbusha maadili kwa wanetu.
Nitarudi baadaye, foleni yangu hapa crdb imesogea.
 
Last edited by a moderator:
Sitasahau siku nilijaribu kwenye ka VITZ.....basi mguu uliingia kwenye stelingi ukanasa huku unaponyeza honi mfululizo....mbaya zaidi tulikua watupu...weee......kama sio tinted ingekua balaa maana watu alishaanza kuja.

hahahahaha una vituko
 
Na kwenye zile purukushani unashtukia umetupa "andawea" dirishani ....lol!!

Abeeee
nineskia kwa mbaaaali unaniita!
si ndo nkaona andawea,nkajua u were really serious!
nikuje huko au hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…