Magari gani yamejazana gereji?

Magari gani yamejazana gereji?

Tatizo wa bongo ni wa bishi sanaa utanunua je discovery au Range kutoka UK yenya 150k OD mita, ni lazima ikusumbua kila kitu kinakua overweared, kisa bei ni 37m 32m matatizo tipu, mnyaru Chris anawapiga vibaya.
lakini ukitazama hz chuma zikiwa road zinakuwa tam sana
 
Karibuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
 
Tatizo wa bongo ni wa bishi sanaa utanunua je discovery au Range kutoka UK yenya 150k OD mita, ni lazima ikusumbua kila kitu kinakua overweared, kisa bei ni 37m 32m matatizo tipu, mnyaru Chris anawapiga vibaya.
Kazi ni kipimo cha utu...weraaa
 
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?

Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.

Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list ni ndefu wakuu niishie hapa nahofia usalama wangu.

Hii ngoma bado mbichi.
mali za mjeremani ndio zinaongoza, tusiige kila kitu. twenzetu japan wandugu.
 
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?

Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.

Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list ni ndefu wakuu niishie hapa nahofia usalama wangu.

Hii ngoma bado mbichi.
Tuseme karibia magari yote ya hapa Tanzania asilimia kubwa yao ni used, utakuta gari limetumika huko nje mpaka kuchoka, linarudishwa kilomita nyuma na kuletwa huku Tanzania kwa wajinga kuja kuozeana kwenye magereji na nyumba za watu.
 
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?

Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.

Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list ni ndefu wakuu niishie hapa nahofia usalama wangu.

Hii ngoma bado mbichi.
Extrovert ..
 
Leo kuna mtu alikuwa analalamika Land Rover Defender limemuharibikia anatafuta gari nyingine.
Defender 110 series hizo gari ngumu unless (puma) nayo tu ni fuel stystem ambayo ni dependable kwenye umeme, exlator nayo pia ya umeme si cable kama za wengine

Kama alikuwa hafanyii service mara kwa mara ataona mzigo
 
Back
Top Bottom