Magari mabovu Tandale

Magari mabovu Tandale

Sawa mkuu, nitaulizia next week nikirudi Geita mjini.
Kwasasa nipo huku Kashelo, Ushirombo wilayani Bukombe mkuu wangu..[emoji3526][emoji3526]
Ushiromo wilayani Bukombe??ndo wap
 
Wanayakata kata alias kuchinja na kuuza spare, ni biashara nzuri! Pia ipo kule machinga complex na ilala!
 
Wanayakata kata alias kuchinja na kuuza spare, ni biashara nzuri! Pia ipo kule machinga complex na ilala!
Dah aise niliona Prado mpya kabisa sema nawasiwas ni Body nzima ila Engine ukute isha R.I.P kitambo..[emoji23]
 
Wana Jf ni matumaini yangu nyote humu mu wazima. Ninaomba kufahamishwa kwa wanao ifahamu njia ya ya sinza kijiweni kupita Tandale mpaka kawawa road kuna magari mengi sana ambayo ni kama yametelekezwa na yanazidi kuongezwa, mengi ni mabovu yamepata ajali na naona kila kukicha yanazidi kulundikwa. Mengine ni 90% bado mazima kama last week nimeona kuna Prado TX nyeupe na Land Cruiser G100 zimeongezwa kwenye list.

sasa kwa Muda mrefu sana kuna maswali nimekua nikijiuliza sasa ningependa kufamishwa.

1. Je, ni nani ana husika nayo moja kwa moja maana kuna mengine naona bado yanafaa kwa spare parts

2. Je, kuna utaratibu wowote ule endapo mtu atataka kujing'olea spares maana ni kama yametelekezwa.

3. Ni kwa nini yanatelekezwa eneo kama lile lisilo rasmi maana ni pembezoni mwa barabara kabisa.

Naomba kuwasilsha.
Wanayauza kama yalivyo au spare parts
 
Dah aise niliona Prado mpya kabisa sema nawasiwas ni Body nzima ila Engine ukute isha R.I.P kitambo..[emoji23]
Kama body ipo vizuri unanunua ila hakikishaa upate na kadi yake. Kisha injini,tairi na vitu vingine utatafuta.

Injini utatafuta ya 2L-Turbo unafunga hapo Maisha yanaendelea hakuna mtu atakaye jua gari ya kuunga unga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom