Magari mabovu Tandale

Sawa mkuu, nitaulizia next week nikirudi Geita mjini.
Kwasasa nipo huku Kashelo, Ushirombo wilayani Bukombe mkuu wangu..[emoji3526][emoji3526]
Ushiromo wilayani Bukombe??ndo wap
 
Wanayakata kata alias kuchinja na kuuza spare, ni biashara nzuri! Pia ipo kule machinga complex na ilala!
 
Dah aise niliona Prado mpya kabisa sema nawasiwas ni Body nzima ila Engine ukute isha R.I.P kitambo..[emoji23]
 
Wanayauza kama yalivyo au spare parts
 
Dah aise niliona Prado mpya kabisa sema nawasiwas ni Body nzima ila Engine ukute isha R.I.P kitambo..[emoji23]
Kama body ipo vizuri unanunua ila hakikishaa upate na kadi yake. Kisha injini,tairi na vitu vingine utatafuta.

Injini utatafuta ya 2L-Turbo unafunga hapo Maisha yanaendelea hakuna mtu atakaye jua gari ya kuunga unga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanayakata kata alias kuchinja na kuuza spare, ni biashara nzuri! Pia ipo kule machinga complex na ilala!
naweza kupata mawasiliano ya mmoja mkata magari, nilikuwa nahitaji spare ya gari yangu IPSUM NEW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…