Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

M105 ndio bei yake bosi. Januari zinarudi bei ya M 110.
zimebaki siku 4 disemba imalizike. tajiri yupi yuko tayari tumpe ofa nzuri tufunge biashara kwa hizi siku 4 zilizobaki, tunamfanyia usajili wa gari na tunakambidhi chombo. piga simu 0686-168624. wahi ofa yako. iwe mkopo au cash. kuanzia Januari 5 ntakuwa likizo ndefu. kwahiyo wadau wangu mnitafute ndani ya siku hizi 4. kabla mwezi haujaisha.
 
Aisee ndugu, TATA bus zile za siti 40 za kufanyia biashara mikoani na hasa vijijini,na zenye milango miwili tu zinakwenda kwa bei gani kwa sasa?

Na utaratibu wenu ukoje iwapo sina pesa yote ya malipo? Naamanisha nitatakiwa kulipia asilimia ngapi ya kuanzia? na kila mwezi nitatakiwa kurejesha kiasi gani na kwa muda gani? Jope tata
 
Back
Top Bottom