LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Habari wanazengo, Naomba Kuleta Hii mada ili mwenye kuweza namna ya kutoa mawazo na ushauri juu ya kuweza kujikinga au kugundua kama kuna mtu ana gari inayofanana kuanzia muonekano mpaka namba za usajili wa Gari lako.
Siku kama nne Jirani yangu alikamatwa na Polisi wa Usalama Barabarani Dar Es Salaam na kuambiwa kuwa gari yake inadaiwa faini ya Sh elfu 30, baada ya kuambiwa hivyo akalipa na kuachiwa lakini akajiuliza Gari anatumia yeye tu na hakuna mtu mwingine lakini akapotezea baada ya siku chache tena Akakamatwa na Kuambiwa anadaiwa Sh elfu 6 kwa Kosa la Kuzidisha Spidi hapo ikabidi sasa aulize vizuri kosa hilo lilifanyika wapi akaambiwa lilifanyika mkoani Huko Mtwara akasema mbona mimi gari yangu haijawahi kwenda huko wala mim mwenyewe sijawahi kwenda na gari hii yangu huko?Wakavutana ikabidi alipe faini na kuelekea Polisi Cetral Dar na kutoa Malalamiko yake Katika Kujielezea Askari Akamwambia kuwa inawezekana Kuna gari Kama yako na Inatumia Namba kama Yako kwahio Subiri tufuatilie tutakuita Bahati Nzuri Jeshi la Polisi Likafanya Msako na Kulikamata Gari hilo Mtwara na Kulileta Central Polisi Aisee Mwenye Gari huyu wa Dar Kuja kuangalia Akashangaa sana kuona Gari linafanana kila kitu kuanzia Rangi, Aina, Hadi Namba ndipo hapo Wakawekwa Ndani wote Hatua ya kwanza Ilikua Kuwahoji na Kuuliza wote kuhusiana na Kadi ya Gari lake Ndipo hapo Huyu Jirani yangu Akasema Aliagiza Gari hilo na kila kitu anacho yule wa Mtwara aliyekamatwa akasema Aliuziwa na Mtu na Hata kadi ya Gari hajapewa bado amepewa Kopi ya Kadi ya Gari tu
Sasa wanazengo ebu mwenye kuelewa namna ambavyo tunaweza kugundua kama Kuna mtu anatumia namba za gari lako Au langu au nini kifanyike kufahamu
Ushauri Zaidi