Vp kama chassis number inatofuatiana kati ya kadi na kile kibati hapo inakuwaje?Hapo kagua kwanza kama kadi sio fake. Hapo itabidi uende TRA ndo wanazijua. Maana waweza kukuta kadi uliyonayo ilishabadilishwa details akapewa huyo mwengine.
Ukishahakikisha uhalali wa kadi then kagua details za kwenye kibati ndani ya bonnet kama zinafanana na za kwenye kadi, means Engine Number na Chassis Number.
Tatu mkiandikishiana Mwambie aandike kwenye mkataba kua documents zingine amepoteza, na ikiwezekana akupe na Loss Report yake ya polisi.