Magari mawili yakamatwa yakiwa na namba zinazofanana

Vp kama chassis number inatofuatiana kati ya kadi na kile kibati hapo inakuwaje?
 
Vp kama chassis number inatofuatiana kati ya kadi na kile kibati hapo inakuwaje?
Hapo kama gari hapo utakua umepigwa Mjomba, Yaan hapo itakua kuna gari ingine ndo yenye chassis number hiyo.

Zamani angalau hata ilikua rahisi kujua kama kuna mwenye kutumia number zako. Ilikua unachelewa tu kulipa annual road licence siku ukienda ukakuta imelipwa na "pacha" wako basi unajua tu mko Wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…