JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
[emoji16][emoji16][emoji16]ilo swal wataachana naloUna maana gani full documents!
Hivi kuna gari inauzwa bila documents ???
How is that a selling point?
Yani hela hii hapa chukua gari documents katafute mwenyewe ??
Halafu ngo ngo ngo hodi TRA, jamani nimekuja nina gari yangu nimenunua picha hizi hapa nitengenezeeni documents!
Sent using Jamii Forums mobile app