JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
[emoji16][emoji16][emoji16]ilo swal wataachana naloUna maana gani full documents!
Hivi kuna gari inauzwa bila documents ???
How is that a selling point?
Yani hela hii hapa chukua gari documents katafute mwenyewe ??
Halafu ngo ngo ngo hodi TRA, jamani nimekuja nina gari yangu nimenunua picha hizi hapa nitengenezeeni documents!
Hii inaonyesha gari tunazouza ni halali mkuu.Una maana gani full documents!
Hivi kuna gari inauzwa bila documents ???
How is that a selling point?
Yani hela hii hapa chukua gari documents katafute mwenyewe ??
Halafu ngo ngo ngo hodi TRA, jamani nimekuja nina gari yangu nimenunua picha hizi hapa nitengenezeeni documents!
Tumemjibu tayari, unahitaji gari kwasasa?
FOR SALE
LAND CRUISER PRADO
YEAR: 2004
CC: 4164
ENGINE:1HDT
FUEL: DIESEL
MANUAL GEAR
FULL AC
IMPORTED FROM JAPAN
PRICE 56M
CALL/WHATSAP 0719972458
View attachment 1375777View attachment 1375778View attachment 1375779View attachment 1375780View attachment 1375781View attachment 1375783View attachment 1375784
La kwanza ndo jibu sahihi, hakuna kilichokosewa hapo.Ebu tuwekane sawa [emoji1312]ni 56,000,000 au 5,600,000 ??
Sent from my iPhone using JamiiForums
kitu chenye bei iliyochangamka lazima kina demand kubwa au hakipatikani kirahisi, kwa mujibu wa sheria za uchumi
sasa hii mi pick hard body kama ya kubebea waandamanaji walioashiria uvunjifu wa amani, raia huwa mnabebea nini na mnayapendea nini zaidi ya uimara wa Land Cruiser???