fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
Hahaha kuna baadhi ya madalali hawana utu kabisa hapa mwezi wa pili wamemuuzia mwalimu passo namba DBAMie sina hamu nao nawaelewa vizuri sanaaa
Acha kabisa wale watuHahaha kuna baadhi ya madalali hawana utu kabisa hapa mwezi wa pili wamemuuzia mwalimu passo namba DBA
Kwa million 9 wakati mpya unaweza pata kuanzia 7.5 yaani sio poa kabisa hawa watu kuna mda huwa nawachukia [emoji35]japo sio wote
Yaani bei unaziona mitandaoni unaweza kukata tamaa ya kununua gari kumbe ukienda mtaani unapata gari nzuri kwa bei ndogoHahaha kuna baadhi ya madalali hawana utu kabisa hapa mwezi wa pili wamemuuzia mwalimu passo namba DBA
Kwa million 9 wakati mpya unaweza pata kuanzia 7.5 yaani sio poa kabisa hawa watu kuna mda huwa nawachukia [emoji35]japo sio wote
Yana uzuri gani wakati ni makuukuu ya kawaida mwanangu?Kupitia uzi huu tutakupa taarifa za magari mbalimbali yanayopatikana kwenye stock yetu kwa ajili ya kuuza
Fuatana nasi kwenye comments hapo chini
Ikiwa una gari unahitaji kuuza kwa haraka au kununua. Tufikie kwa namba 0719972458
Karibu sana
Instagram @magari_aina_zote
Usiogope, pitia hapa👉 #1,320 uone gari 'used as new'Yana uzuri gani wakati ni makuukuu ya kawaida mwanangu?