fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
Hahaha kuna baadhi ya madalali hawana utu kabisa hapa mwezi wa pili wamemuuzia mwalimu passo namba DBAMie sina hamu nao nawaelewa vizuri sanaaa
Kwa million 9 wakati mpya unaweza pata kuanzia 7.5 yaani sio poa kabisa hawa watu kuna mda huwa nawachukia [emoji35]japo sio wote