F Fao La Kujitoa JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 396 Reaction score 966 Jan 23, 2021 #1 Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,053 Reaction score 2,757 Jan 23, 2021 #2 Aisee ao jamaa wapigwe kiberiti mchana kweupe na hali hii ilivyo ngum ukiniibia gari ntaroga mpaka nyasi
Aisee ao jamaa wapigwe kiberiti mchana kweupe na hali hii ilivyo ngum ukiniibia gari ntaroga mpaka nyasi
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 23, 2021 #3 ..."kaa mkao wa kujibu maswali, na wewe ukijibu majibu tofauti na wewe utakuwa sehemu ya wizi wa gari..." Kwa vitisho hivi magari yataishia kupigwa mnada
..."kaa mkao wa kujibu maswali, na wewe ukijibu majibu tofauti na wewe utakuwa sehemu ya wizi wa gari..." Kwa vitisho hivi magari yataishia kupigwa mnada