G Giddy Mangi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 830 Reaction score 184 Jul 17, 2011 #1 Kweli sasa nimegundua Sheria zimewekwa ili zivunjwe.Haya magari ya Serikali tena na Milingoti ya bendera baa mpaka usiku mkubwa inamaana gani jamani?Au tuchukue sheria mikononi?Hawajui tumechoka serikali?
Kweli sasa nimegundua Sheria zimewekwa ili zivunjwe.Haya magari ya Serikali tena na Milingoti ya bendera baa mpaka usiku mkubwa inamaana gani jamani?Au tuchukue sheria mikononi?Hawajui tumechoka serikali?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Jul 17, 2011 #2 Ni magari yetu hayo.....yamenunuliwa na kodi zetu.....mnaweza mkamuadabisha dereva....sisi wananchi ndio waajiri wao
Ni magari yetu hayo.....yamenunuliwa na kodi zetu.....mnaweza mkamuadabisha dereva....sisi wananchi ndio waajiri wao
G Giddy Mangi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 830 Reaction score 184 Jul 17, 2011 Thread starter #3 Au 2yaharibu?
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 903 Jul 17, 2011 #4 Humo kwenye mabaa mida hiyo wanakwenda kupata huduma mbadala!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Jul 17, 2011 #5 Giddy Mangi said: Au 2yaharibu? Click to expand... hapana.....kuharibu "NO".....nyie shughulikeni na deree.......mkumbusheni wajibu wake wa kutunza mali ya umma
Giddy Mangi said: Au 2yaharibu? Click to expand... hapana.....kuharibu "NO".....nyie shughulikeni na deree.......mkumbusheni wajibu wake wa kutunza mali ya umma
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Jul 17, 2011 #6 hahahaha BONGO tambarare hujui eeeeeeeeeeeeeeeeehh MTAJIJU
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 Jul 18, 2011 #7 Ma STK unayakuta yamepaki mpaka nje za gesti acha baa tu mchana kweupee! Jiulize kazi zinafanyika saa ngapi?!
Ma STK unayakuta yamepaki mpaka nje za gesti acha baa tu mchana kweupee! Jiulize kazi zinafanyika saa ngapi?!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Mar 29, 2018 #8 weka pichaa