Magari STK baa hadi usiku wa manane.

Magari STK baa hadi usiku wa manane.

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Kweli sasa nimegundua Sheria zimewekwa ili zivunjwe.Haya magari ya Serikali tena na Milingoti ya bendera baa mpaka usiku mkubwa inamaana gani jamani?Au tuchukue sheria mikononi?Hawajui tumechoka serikali?
 
Ni magari yetu hayo.....yamenunuliwa na kodi zetu.....mnaweza mkamuadabisha dereva....sisi wananchi ndio waajiri wao
 
Humo kwenye mabaa mida hiyo wanakwenda kupata huduma mbadala!
 
Ma STK unayakuta yamepaki mpaka nje za gesti acha baa tu mchana kweupee! Jiulize kazi zinafanyika saa ngapi?!
 
Back
Top Bottom