DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,181
Reaction score
1,579
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?

Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo?
Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa.

Hapa Mwanagati wilayani, Ilala kila baada ya dakika chache kuna magari ya taka yanamwaga uchafu mitaani kwetu pembezoni mwa tawi la mto mzinga. Siyo chini ya magari mia kwa siku, kwa kisingizio cha kupambana na mmomonyoko wa ardhi.

Hivi akili ya kutatua tatizo kwa kuanzisha lingine itatufikisha wapi? Tayari kuna madhara ya kiafya yanatokea. kuhara, kutapika hovyo, kubanwa vifua, subirini mvua utokee mripuko wa Kipindupindu kabisaaa.

Tayari maji ya mtoni yamenajisiwa na uchafu hadi kemikali, huku walima mboga wanaendelea yao kwa ajili ya hitaji la wakazi wa jiji. Kwa hiyo utaona kwamba jiji zima liko hatarini huku viongozi wetu wapo maofisini wametulia tuli kama maji ya mtungini. Mbaya zaidi majalala yana kawaida ya kulipuka moto,

Ee Mwenyezi Mungu tuepushe sisi waja wako.
 
Njooni huku kijijini kupo poa kabisa
 
Kuna Bilioni kwa Mwigulu Nchemba. Mwandikie, Ana kitita cha kusafisha Mazingira.

Wamekusikia
 
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?

Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo?
Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa.

Hapa Mwanagati wilayani, Ilala kila baada ya dakika chache kuna magari ya taka yanamwaga uchafu mitaani kwetu pembezoni mwa tawi la mto mzinga. Siyo chini ya magari mia kwa siku, kwa kisingizio cha kupambana na mmomonyoko wa ardhi.

Hivi akili ya kutatua tatizo kwa kuanzisha lingine itatufikisha wapi?

Tayari kuna madhara ya kiafya yanatokea. kuhara, kutapika hovyo, kubanwa vifua, subirini mvua utokee mripuko wa Kipindupindu kabisaaa.

Tayari maji ya mtoni yamenajisiwa na uchafu hadi kemikali, huku walima mboga wanaendelea yao kwa ajili ya hitaji la wakazi wa jiji. Kwa hiyo utaona kwamba jiji zima liko hatarini huku viongozi wetu wapo maofisini wametulia tuli kama maji ya mtungini. Mbaya zaidi majalala yana kawaida ya kulipuka moto,

Ee Mwenyezi Mungu tuepushe sisi waja wako.
Sad..Nawayaga mboga za majani za huku zinaile chumvi flan achana oa chumvi ya kawaida.Sasa wajumvi ile chumvi hutokana na nini
 
Mod, asante nimekuelewa.
 
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?

Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo?
Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa.

Hapa Mwanagati wilayani, Ilala kila baada ya dakika chache kuna magari ya taka yanamwaga uchafu mitaani kwetu pembezoni mwa tawi la mto mzinga. Siyo chini ya magari mia kwa siku, kwa kisingizio cha kupambana na mmomonyoko wa ardhi.

Hivi akili ya kutatua tatizo kwa kuanzisha lingine itatufikisha wapi? Tayari kuna madhara ya kiafya yanatokea. kuhara, kutapika hovyo, kubanwa vifua, subirini mvua utokee mripuko wa Kipindupindu kabisaaa.

Tayari maji ya mtoni yamenajisiwa na uchafu hadi kemikali, huku walima mboga wanaendelea yao kwa ajili ya hitaji la wakazi wa jiji. Kwa hiyo utaona kwamba jiji zima liko hatarini huku viongozi wetu wapo maofisini wametulia tuli kama maji ya mtungini. Mbaya zaidi majalala yana kawaida ya kulipuka moto,

Ee Mwenyezi Mungu tuepushe sisi waja wako.
Weka picha mzee baba
 
Watu wa Serikali ya mtaa washavuta kipunda hapo! Kila gari watakuwa wanatoa chambi chambi...
 
Back
Top Bottom