Habari wadau
Kuna jamaa yangu amevutiwa na page moja ya magari yaliyoko usa na uk huko mtaa wa instagram, hao watu wanauza used cars na tz wana agent.
Ningependa kujua ubora wa used za nchi hizo ukoje pia uhakika wa usafirishaji kuchukua muda gani toka huko, taratibu za tra etc.Nimeuliza hayo ili nimpatie ushauri mujarab kabisa.Na kama kuna mdau anajua kampuni yoyote ya UK inayoaminika kwa uuzaji na usafirishaji wa used to tz tutashukuru ukituunganisha.