Magari used kutoka USA na UK

Magari used kutoka USA na UK

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,004
Reaction score
3,695
Habari wadau
Kuna jamaa yangu amevutiwa na page moja ya magari yaliyoko usa na uk huko mtaa wa instagram, hao watu wanauza used cars na tz wana agent.

Ningependa kujua ubora wa used za nchi hizo ukoje pia uhakika wa usafirishaji kuchukua muda gani toka huko, taratibu za tra etc.Nimeuliza hayo ili nimpatie ushauri mujarab kabisa.Na kama kuna mdau anajua kampuni yoyote ya UK inayoaminika kwa uuzaji na usafirishaji wa used to tz tutashukuru ukituunganisha.

Tunatanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama kuna mdau anajua kampuni yoyote ya UK inayoaminika kwa uuzaji na usafirishaji wa used to tz tutashukuru ukituunganisha.
Angalia link kwenye posti ya kwanza mwishoni: https://www.jamiiforums.com/threads...i-mazuri-na-nafuu-kuliko-toyota-japan.637180/
Usafiri wa gari kutoka UK ni £700 wakati kutokajapan ni madola kibao ..

Ukitaka hizi gari tembelea mtandao huu utayaona mengi tu kwa bei nafuu

Used FORD FOCUS Car for Sale - Auto Trader UK
Na fuatilia mjadala mzima hapo wakati ukisubiria majibu kutoka kwa wadau.
 
Back
Top Bottom