Car4Sale Magari used Tanzania

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
Habari wapendwa,

Jina langu naitwa Jerry, najihusisha na biashara ya uuzaji wa magari ambayo yametumika Tanzania, kupitia uzi huu ntakuwa naweka magari mbalimbali ambayo nmekabidhiwa na wahusika ili nipate kuwauzia, magari hayo ni mazuri na yenye ubora ambayo ninayauza kwa bei nafuu pia.

Pia, kama unauza au unataka kununua gari nzuri yenye ubora basi naomba nitafute ili nipate kukupatia gari unalohitaji kwa gharama nafuu na bora kabisa.

Namba zangu ni
0659756647 whatsapp/calls
0623953036 whatsapp/calls


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  1. kwanini msiwe mnaweka na namba za wenye Magari? kuna Dada mmoja anauza gari yake yeye anaenda USA wiki ijayo, anataka 8m Madalali wameifkisha 10m wakati mwenyewe ana shida ya nauli (mnamkosesha usafiri)
  2. Gari ni mbovu ipo Tegeta ninyi mnapiga picha nyingine mkiambiwa ongezeni hata Dashboard mnasema gari haipo kumbe sio wamiliki
  3. Acheni biashara hizo hali kwa sasa ni ngumu vyuma vimekaza mtapata lawana wakutanisheni wanunuzi na wauzaji ninyi madala;i mtapewa % zenu la sivyo waacheni wakauze www.zoomtanzania.com
 
toyota gx 110
full documents
full ac
naiuza kwa 5m



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu una gari unauza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo IST T247 BAJ kuna dalali mwingine kaposti humu Jf kasema 6M..Huyu anasema 6.5M still anasema haongezi cha juu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo IST T247 BAJ kuna dalali mwingine kaposti humu Jf kasema 6M..Huyu anasema 6.5M still anasema haongezi cha juu..

Sent using Jamii Forums mobile app

ndugu gari zote ninazopost humu mm ndio nmekabidhiwa na kwenye biashara kuna kuomba kupunguziwa na swala zima la budget


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
canter
engene 4m40
namba d
tani 2
full documents and ac
naiuza kwa 20m

je unatafuta gari ya kununua au unataka kuuza gari yako basi jibu lako ni mimi nitafute kwa no hizo kwa ajili ya kununua gari bora na hata kuuza gari yako
0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama hiyo IST T247 BAJ kuna dalali mwingine kaposti humu Jf kasema 6M..Huyu anasema 6.5M still anasema haongezi cha juu..
Sent using Jamii Forums mobile app


Hiyo Harrier dalali kaanzia 4.5m nimemtafuta mwenye na hizo za gari kasema hata chini ya 4m inazungumzika na kanieleza ukweli tatizo zima la gari, mileage nk sasa huoni Dalali kutokuweka namba za muuzaji anajiwekea 1m nzima na gari ikibuma hiyo 1m si ningenunulia injini pale Ilala, ndio maana sipendi gari iuzwe na watu wawili
Ukitaka kumjua mwenye gari ingia Traffic http://tms.tpf.go.tz/ namba ya leseni ya siku hiyo, au Ingia TRA au BIMA (TIRA MIS) ndipo utawaona wamiliki
 
harrier zipo mkuu ntafute kwa no 0659756647
Sent from my iPhone using JamiiForums
NIMESHAPATA Mkuu nashukuru sana kwa msaada uliotaka nisaidia pi JF wameniongoza ilipo, ngoja kwanza itoke gereji kuna ka service kadogo (gear 3 kwenda 4 haipokei ni AT)
 

Ukwaju mbona unapenda sana mateso??? acha kununua gari zilizochakaa hivi utakuja kujuta ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…