Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Mm ni fundi na niko Mkoani km ujuavyo kule nakula 10m mpaka 13 km ni black kwa wasukuma wachimbaji na wafugaji wa kimasai (unaswaga ng'ombe zako 20 mpaka Pugu halafu nakutafuta, hawa watu kwa sasa hawataki tena Land Rover 110 km unazo tufanye biashara, mm nabadili injini na naziuzaUkwaju mbona unapenda sana mateso??? acha kununua gari zilizochakaa hivi utakuja kujuta ndugu