Zip
ZIpo nyingi budget yako tu
Budget yangu ni 12 M.Zip
ZIpo nyingi budget yako tu
0659756647Budget yangu ni 12 M.
Injection au caburator?Town ace ya mizigo used inacheza bei gani?
Lite ace used ya mizigo inacheza bei gani?
Ya petrol ni bei gani? Ya Diesel ni bei gani?
Ipi ni bora zaidi kibiashara na kiuimara?
Naulizia tu bei.Injection au caburator?
Mayai au old?
New au used?
Be specific
Nzuri kwa kazi ni hizi injection hasa iwe manual ambazo kwa used zenye hali nzuri unapata kwa 13m 14m nakuendeleaNaulizia tu bei.
Used yenye hali nzuri, zile pickup imara za mizigo.
NB: sina utaalam wa aina yoyote wa magari. Kama unao utaalam suggest wewe ipi imara na range ya bei yake.
OkNzuri kwa kazi ni hizi injection hasa iwe manual ambazo kwa used zenye hali nzuri unapata kwa 13m 14m nakuendelea