Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Zip
ZIpo nyingi budget yako tu
- Toyota Rux/Allex
- Toyota Ractis
Nahitaji gari mojawapo ya gari hizo.
Tuseme reg.# kuanzia DX... hadi E...
Yaani kama ni D iwe ya mwisho mwisho na kuendelea hadi E.
Kifupi nataka gari Bado haijasoma kilometers za kutosha na ipo kwa Hali nzuri haijatumika sana Tanzania (kama mpya mpya vile)
Ukipata tupia hapa Kisha nitag.