Car4Sale Magari used Tanzania

Ukwaju mbona unapenda sana mateso??? acha kununua gari zilizochakaa hivi utakuja kujuta ndugu
Mm ni fundi na niko Mkoani km ujuavyo kule nakula 10m mpaka 13 km ni black kwa wasukuma wachimbaji na wafugaji wa kimasai (unaswaga ng'ombe zako 20 mpaka Pugu halafu nakutafuta, hawa watu kwa sasa hawataki tena Land Rover 110 km unazo tufanye biashara, mm nabadili injini na naziuza
 

Nimekuelewa mzee.
 
toyota raum
Mwaka 2001 na cc 1290
naiuza kwa 5.5m
haina tatizo lolote kwa ukaguzi na ununuzi nitafute kwa namba 0659756647
pia kwa mahitaji ya kununua magari au kuuza gari nitafute nikusaidie kwa uharaka iwe ni kwa kuuza na hata kununua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

ndugu gari zote uzionazo naziposti ni gari ambazo nimekabidhiwa nami baada ya kukabidhiwa huwa najiridhiaha kwa kuzikagua ndo nauza siuzi kitu naichokijua nafanya kazi yangu kwa proffessional sababu ndo kazi inayoniendeshea maisha kama hyo harrier kaposti mtu mwengne huko usiharibie wengne kwa kosa la mwengne,wateja wangu always huwa satisfied na huduma nayoitoa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Reactions: CPD
toyota mark x
full option
push to start
imetembea 90000km
naiuza kwa 9m
haina shida yoyote kama ni wa mkoani ni kumwaga tu oil na kuanza safari
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari nitafute kwa namba 0659756647



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota spacio
new model
full documents and ac
naiuza kwa 6.8m
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari yako nitafute ili nikusaidie kwa haraka kupata au kuuza gari yako
0659756647



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu tunashukuru,,,,lakini kabla ya kunena hayo ungejiuliza mara mbili kama ni sahihi,ulichofanya ni kitendo cha kuharibu kazi za watu sio fresh maana hiyo ndo ajira yake. Unafikiri mwenye gari anamlipa yeye? anayo kazi ya kutafuta wateja na kujilipa mwenyewe afanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kuna watu wana roho ngumu mno na hizo ni changamoto za kazi pia but pole yake ni kwamba gari zote nmekabidhiwa hivyo nmeingia makubaliano na wauzaji


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nauza gari aina ya carina ti namba a gari inatembea na ipo katika hali nzuri pia inauzwa kwa 3.8m
kwa mahitaji ya kununua na kuuza gari lako usisite kunitafuta kwa namba hizo
mawasiliano 0659756647



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nauza toyota brevis
very low milleage
namba d
nauza kwa 7.5m
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari yako usisite kunitafuta kupitia namba
0659756647



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota rav 4
engene 3s
naiuza kwa 6.5m
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari yako nitafute kwa namba
0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Boss Raum nitapata kwa bei gan??

raum zipo mkuu mara nyingi bei huwa kubwa kulingana na namba za usajili wa gari but zipo sema tu unataka namba ipi au una budget gani unaweza kunitafuta kwa 0659756647 nkusaidie kwa uharaka


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
raum zipo mkuu mara nyingi bei huwa kubwa kulingana na namba za usajili wa gari but zipo sema tu unataka namba ipi au una budget gani unaweza kunitafuta kwa 0659756647 nkusaidie kwa uharaka


Sent from my iPhone using JamiiForums
Namba D
 
Piga kazi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Biashara ya kizamani sana tena ya kishamba, watu mnaelekezwa njia rahisi ya kuweka Contact na specification za magari ziwe open mnazificha
sasa Hasara huoni ni kwa mwenye mali
Dalali siku zote atarundika magari yakikosa mteja anasonga mbele
Ni gari gani limeuzwa kwa njia hii tangu Tangazo litoke hata mwaka utaisha
Magari yanauzwa kila siku na kwa mitandao mingi tu ingia www.zoomtanzania.com uone walivyaAdvance
simu unampigia mwenye Gari moja kwa moja dalali anapewa chake km ni lazima
 

mkuu unataka kujua zilishauzwa gari ngapi mpka sasa kupitia uzi huu?pole sana ndugu acha wahitaji tuwahudimie,mie siyo dalali local kama unavyodhania kwani nina ofisi na nnalipa kodi kwa nchi yangu hvyo nipo legally


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…