jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #581
Mkuu BEAMS 2000 sio six cylinder?Toyota altezza
4 cylinder
engine ndogo
full ac
bei 5m
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1503671View attachment 1503672View attachment 1503674View attachment 1503675View attachment 1503676
Naipenda hii gari,ikifika around 8m nitainunua. Wacha nisubiri watu wazichoke.Toyota crown arthlete
mwaka 2005
gari ni mpyaa kabisa
bei 11.5m
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1503712View attachment 1503713View attachment 1503714View attachment 1503716View attachment 1503717View attachment 1503718
Nina 7.0m mkuusubaru imprezza
engine 1490cc
mwaka 2005
gari mpyaaaa
bei 8.8m tu
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1476021View attachment 1476022View attachment 1476023View attachment 1476024View attachment 1476025
itafika tu mkuu,i hope kwenye mwaka kesho au keshokutwa hyo ndo gari ya kiumeNaipenda hii gari,ikifika around 8m nitainunua. Wacha nisubiri watu wazichoke.
Cc mng'ato
beams nying ndogo 1g kavu nying ndo 6 cylinderMkuu BEAMS 2000 sio six cylinder?
Hapo mkuu ndipo mlipofika kwasababu inabidi nibadilishe rangi
kwa 7 mkuu ngumu kwa hyo gariHap
Hapo mkuu ndipo mlipofika kwasababu inabidi nibadilishe rangi
kuanzia post #593 picha zinagoma.. inaonesha 1 tuToyota pro box
engine vvti
full ac
tunaiunza kwa 6.5m tu
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1506122View attachment 1506126View attachment 1506125View attachment 1506123View attachment 1506128View attachment 1506124View attachment 1506127View attachment 1506129
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Engine ndogo ndio ipi?Toyota verosa
engine ndogo
full ac and services
bei 4.7m
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1504465View attachment 1504466View attachment 1504467View attachment 1504468
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Engine ndogo ndio ipi?
Jamaa bana wanazinguaga sana 🤣🤣🤣Atakwambia ni ile 1g-fe ndio engine ndogo hio,madalali ni soo.
Jamaa bana wanazinguaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ikiwa kwenye Tezza ni engine ndogoHahah lkn hapo hapo ukiwaambia niuzieni hii gx 100 cresta yangu utasikia hio inakula wese sana,ni jini mafuta hio wateja hawaitaki.
Mpk unajiuliza kwani hii cresta haitumii hio hio 1g-fe ambayo ikiwa huko kwny verosa mnaiita ni engine ndogo?hahahah