Car4Sale Magari used Tanzania

Car4Sale Magari used Tanzania

Toyota crown arthlete
mwaka 2005
gari ni mpyaa kabisa
bei 11.5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200711-WA0160.jpg
IMG-20200711-WA0162.jpg
IMG-20200711-WA0163.jpg
IMG-20200711-WA0156.jpg
IMG-20200711-WA0154.jpg
IMG-20200711-WA0163.jpg
 
Toyota crown arthlete
mwaka 2005
gari ni mpyaa kabisa
bei 11.5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1503712View attachment 1503713View attachment 1503714View attachment 1503716View attachment 1503717View attachment 1503718
Naipenda hii gari,ikifika around 8m nitainunua. Wacha nisubiri watu wazichoke.
Cc mng'ato
 
Toyota verosa
engine ndogo
full ac and services
bei 4.7m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200712-WA0022.jpg
IMG-20200712-WA0024.jpg
IMG-20200712-WA0023.jpg
IMG-20200712-WA0025.jpg

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Toyota pro box
engine vvti
full ac
tunaiunza kwa 6.5m tu

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1506122View attachment 1506126View attachment 1506125View attachment 1506123View attachment 1506128View attachment 1506124View attachment 1506127View attachment 1506129

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
kuanzia post #593 picha zinagoma.. inaonesha 1 tu
.
 
Naipenda hii gari,ikifika around 8m nitainunua. Wacha nisubiri watu wazichoke.
Cc mng'ato
Mkuu nikajua uko in for Germans tu. Kumbe hata mjapani unamuelewa. Sema humo jamaa wametengeneza gari haswa. Sio utani the car really moves!!!
 
Jamaa bana wanazinguaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahah lkn hapo hapo ukiwaambia niuzieni hii gx 100 cresta yangu utasikia hio inakula wese sana,ni jini mafuta hio wateja hawaitaki.

Mpk unajiuliza kwani hii cresta haitumii hio hio 1g-fe ambayo ikiwa huko kwny verosa mnaiita ni engine ndogo?hahahah
 
ikiwa kwenye Tezza ni engine ndogo
 
Back
Top Bottom