Car4Sale Magari used Tanzania

Hahah lkn hapo hapo ukiwaambia niuzieni hii gx 100 cresta yangu utasikia hio inakula wese sana,ni jini mafuta hio wateja hawaitaki.

Mpk unajiuliza kwani hii cresta haitumii hio hio 1g-fe ambayo ikiwa huko kwny verosa mnaiita ni engine ndogo?hahahah
Imebidi ninyamaze nilipoambiwa BEAMS 2000 ya kwenye Altezza ni ndogo.
 
Imebidi ninyamaze nilipoambiwa BEAMS 2000 ya kwenye Altezza ni ndogo.
Ig fe kidogo ulaji wake wa mafuta syo sawa sana na beams 2000,ni mfano wa 5A ya carina na vvti ya ist ambazo zote zna cc 1490cc but consumption yake kidogo ina utofauti ndo maana wengi huuita beams 2000 kama engine ndogo na ndo hupendwa zaidi
am here to be corrected

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Hahah lkn hapo hapo ukiwaambia niuzieni hii gx 100 cresta yangu utasikia hio inakula wese sana,ni jini mafuta hio wateja hawaitaki.

Mpk unajiuliza kwani hii cresta haitumii hio hio 1g-fe ambayo ikiwa huko kwny verosa mnaiita ni engine ndogo?hahahah
karibu uuze gari yako kupitia sisi,tunauza kila aina ya gari hali yakuwa tu iwe nzima,kwetu tunaamini kila aina ya gari na yenye kila aina ya engine inauzika.
0623953036 whatsapp/call

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 

Aisee kwa hio 1g-fe na beams 2000 hizo ni engine 2 tofauti mkuu?
 
naiuza harrier old model
engine 5S
2300cc engine ndogo
gari ni ya mdada
clean condition
bei 9m only

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1507149

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
crown arthlete
mwaka 2005
engine 2500cc
full option
bei 10.5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
TUKUMBUSHANE
USINUNUE PLATE NUMBER NUNUA GARI

Nina kigari changu MAZDA DEMIO ambako kana namba CYZ ..hakana kazi Sana ni ka mara moja moja kama nikikosa mafuta kwenye mnyamaa (F) nikaona nikapush jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap baadaye akaja kuzingua ..!!

Kiukweli gari ipo vizuri imetembea kms 60000 plus.jamaa akaja nikamwonesha gari akakagua na kumuita fundi wake mtalaam..maana siku zote nabii hakubaliki nyumbani mwake .... Fundi akanishtua chamber ENGENEER changamka kuwa yeye ntampa tsh ngap.nikamuuliza kwa kazi gani?yeye hakagui kwa niaba yangu.so why nimlipe?halafu mm narushwa mbalimbali nikamwambia maandiko yanasema uwe mwaminifu mpk kufa ,akadai ili jamaa anunue anahitaji maoni yake.nlimkatalia....huo upuzi staki mm hataki asepe

Wakaondoka jamaa hakusikika tena kuzungumzia gari.bahati nzuri work mate wangu tupo vitengo tofauti after a week namwona ana IST namba DPU.sikumuuliza kitu.

But nlishangaa mlio wa ile gari na inatoa moshi kama gari moshi.unaweza sema ina smoke.week mbili anakuja job kwa daladala.akawa hasemi kitu ila maji yakazidi unga akaamua vunja ukimya. Kuwa fundi wake alimwambia ile gari yangu haifa namba C akampeleka kwa jamaa mwingine. Ile gari alinunua baada ya siku mbili ikawa haiwaki.akampigia muuzaji.muuzaji akamtumia namba ya simu ya umeme wa magari,gear box na fundi wa engine.

Yaani alimuuzia gari na kumkabidhi namba za mafundi.kigari kinapiga kelele.,kinavibrate...kama kina majini sometime kinajiongeza speed chenyewe.hapo kama kimefurahi

Kikiudhika kinajishusha speed unakanyaga mafuta mpaka mwisho kinakuwa hakitaki kwenda...hapo kimeamua kususa.mimi gari yangu nafanya service tu sijawahi gusa engine wala gearbox.

Jamaa kaenda nunua plate number kigari kinamtesa balaaa...kauziwa gari na kupewa namba za mafundi kakikata umeme anaitwa fundi wa umeme.kakigoma kuingia gear anaitwa wa gearbox n.k

Narudia jamani hela ngumu hebu kuweni makini uzuri wa gari haupimwi kwa plate number kwa taarifa yako kuna mbinu moja baadhi ya wenye tamaa wanaifanya wanatafuta card ya gari lilopata ajali number D ,..mengi huwa yanachinjwa kama screpa ananunua kadi kama ni ya IST na anabadua ile plate number Anaenda kuweka kwenye Gari iliyochoka number A analenga kwa bei ndogo anabadili plate number ....na kupigwa ki rangi cha laki 3 halafu anatagaza kuuiuza kinachofata watu wakiona number D hawalinganishi document na serios number za injini na chasisi number tayari keshalizwa

Watu wanadhani kuwa eti gari ikiwa number D ndio inakuwa iko poa huko ni kujidanganya unako lala wewe mwenzako ndiko wanakoamkia utalizwa sana wajuaji huwa wanaulizwa na wajuaji kuliko wao

Kuna gari zimekaza lakini ni number A,NUMBER B ,NAMBA C NA NO D ,ZIPO USIKIMBILIE KUNUNUA GARI KWA KUANGALIA PLATE NUMBER UTAANGUKIA PUA SHAULI YAKO

Wadau mnapununua magari zingatieni ubora wa gari siyo plate namba.pateni mafundi wastaarabu na wa kweli siyo fundi dalali..... Halafu waje wawalizie kagua injini endesha uone gerbox inavyopokea maelekezo kutoka kwako .. haya yote nishafundisha lakini watu wanalizwa na mafundi dalali,njoo kwetu jerry empire sehemu pekee utapouziwa gar na kuambiwa kila aina ya chngamoto ya gari na gari zetu tunazouza tunazkagua na kuuza gari mbovu kwetu mwiko

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 

Hii ni copy and paste.
Kuna mtu aliiweka humu mwaka jana naona umejifanya kuiweka hapa kuvutia biashara yako.
 
toyota passo
mwaka 2004
990 cc
changamoto ya gari haina ac tu
engine,gear box na body viko vizuri
inafika kokote
bei 2.5m fixed

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
carina ti
1490cc
full music and not repainted
price 7.5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1514645

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
toyota ist
mwaka 2005
1490cc
haina changamoto hata moja
bei 7.8m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
toyota ist
mwaka 2004
1290cc
bei 8m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…