Car4Sale Magari used Tanzania

toyota ist
mwaka 2004
cc1290
naiuza kwa 7.8m tu
kwa mahitaji ya kuuza na kusaidiwa kupata gari nitafute kupitia namba 0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota ist
cc1290
mwaka 2003
inauzwa kwa 6.5m
sababu ya kuuzwa bei hyo ni iligonga kwenye bampa za mbele ila ikanyooshwa na kupigwa rangi kwenye bampa hivyo iko vizuri.
kwa mahitaji ya kununua au kuuza gari yako nitafute kwa namba zifuatazo
0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota ist
cc1290
mwaka 2003
bei 7m
kwa mahitaji ya kununua na kuuza gari yako nitafute kwa no
0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wapenzi wa land cruiser hii si yakuiacha
landcruiser
engene ihz
manual
diesel
inauzwa kwa 42m
kwa mahitaji ya kutafuta gari ya kununua au kuuza nitafute 0659756647
tu




Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Attachments

  • f8dfe2db-afff-4c33-9f70-12ea52298934.jpg
    141.5 KB · Views: 88
NAHITAJI GARI RAV 4 OLD MODEL
Gari iwe manual,
Iwe namba C au D
Gari iwe milango 5
Bajeti yangu million 7.5
Whatsap #0717-671240
Call. #0745-524932

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAHITAJI GARI RAV 4 OLD MODEL
Gari iwe manual,
Iwe namba C au D
Gari iwe milango 5
Bajeti yangu million 7.5
Whatsap #0717-671240
Call. #0745-524932

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina Auto namba "A", ipo Arusha, ninauza 6m; kama utakuwa interested nijulishe. NB: Ilikuwa inatumika kwenye hotel ya kitalii, Njoo na fundi ukague gari.
 
Nahitaji Allion cc 1290, iwe nzuri tu.... bajeti 5m. (neg)

Usile Mbegu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…