OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ipo M3.5 apa mkuu chukuaToyota porte
mwaka 2004
engine 1290cc
bei 6.8m
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/callView attachment 1821539View attachment 1821543View attachment 1821552
habariNATAKA ICT ya million 3
ipo ya 10.5m mkuuSubaru Legacy… ipo? Inakwendaje.??
Naona Subaru 4wd nyingi latest zipo kwenye hali nzuri na bei more affordable ukilinganisha na Toyota. Kwa wazoefu na hizi gari zipoje? Ikipata shida? service, spare parts? Ukiwa mikoani? Porini? Safari ndefu?ipo ya 10.5m mkuuView attachment 1822893
Nipe picha ya passo na vitz mkuuhabari
kwa 3m huwezi pata ist mkuu,labda kidogo ukiongeza kiasi cha fedha kwa kuanzia 4m unaweza kupata vitz au passo.
karibu
subaru ni moja ya gari ambayo ukifunga spare ni umefunga.Naona Subaru 4wd nyingi latest zipo kwenye hali nzuri na bei more affordable ukilinganisha na Toyota. Kwa wazoefu na hizi gari zipoje? Ikipata shida? service, spare parts? Ukiwa mikoani? Porini? Safari ndefu?
NB, sipendi mambo ya kwenda kwenda garage
Niuzie hiyo IST kama ipo badoNataka iliyotumika hata km ni ya 1999 hata iwe na cc3000 lakini ngoja uniuzie kwanza IST
Kiongozi naomba unipatie dondoo muhimu za Subaru Forester XTsubaru ni moja ya gari ambayo ukifunga spare ni umefunga.
pia wametoa gari zao katika model 2 kwa kila gari means kulinganga na matumizi/matakwa ya mtumiaji
kuna turbo cars hizi znampa mtumiaji nafasi ya kukimbia zaidi na nguvu vijana wanamwambia hizi znafaa sana kwa sporting hasa kukimbia na drifting na mengineyo japo kidogo matumizi yake ya mafuta yamezid kidogo.
na kuna non turbo hizi kidogo zimetengenezwa kwa wale wasiopenda mambo mengi ambazo hazina turbo pia hata matumiz yake ya mafuta syo makubwa
subaru forester znatambulika zaidi kama subaru forester XTKiongozi naomba unipatie dondoo muhimu za Subaru Forester XT
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
M16 naweza pata kiongozisubaru forester znatambulika zaidi kama subaru forester XT
ni gari ambayo ilitengenezwa kushindana na harrier new model's na baadhi ya SUV.
ni gari stable sana barabarani huku zikiwa na engine normal kwenye mafuta ya 1990CC,yenye kuambatana na body ngumu.
hapa nako hawajafanya kosa wametoa matoleo mawili yenye turbo na ambayo haina turbo hasa kwa wale wapenzi wa drifting na wapenzi wa speed.
kuhusu spear gari hizi spear zmejaa mno sana used na hata mpya kwa affordable price ni moja ya gari zinazofanya vizuri sana kwa sasa hizo XT na subaru imprezza
kuanzia 17 unapata boss
Ngoja nifunge mkanda ntachukua one daykuanzia 17 unapata boss
karibu sana mkuu tukuhudumie
Hizi bado zipo?nissan march
zipo 9
full ac
3.5m kwa kila moja
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/callView attachment 1779508