Car4Sale Magari used Tanzania

Car4Sale Magari used Tanzania

Subaru Legacy… ipo? Inakwendaje.??
ipo ya 10.5m mkuu
IMG-20210618-WA0050.jpg
 
Naona Subaru 4wd nyingi latest zipo kwenye hali nzuri na bei more affordable ukilinganisha na Toyota. Kwa wazoefu na hizi gari zipoje? Ikipata shida? service, spare parts? Ukiwa mikoani? Porini? Safari ndefu?

NB, sipendi mambo ya kwenda kwenda garage
subaru ni moja ya gari ambayo ukifunga spare ni umefunga.

pia wametoa gari zao katika model 2 kwa kila gari means kulinganga na matumizi/matakwa ya mtumiaji

kuna turbo cars hizi znampa mtumiaji nafasi ya kukimbia zaidi na nguvu vijana wanamwambia hizi znafaa sana kwa sporting hasa kukimbia na drifting na mengineyo japo kidogo matumizi yake ya mafuta yamezid kidogo.

na kuna non turbo hizi kidogo zimetengenezwa kwa wale wasiopenda mambo mengi ambazo hazina turbo pia hata matumiz yake ya mafuta syo makubwa
 
starlet
mwaka 2002
engine 1300
full ac
bei 4.7m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/call
IMG-20210619-WA0046.jpg
IMG-20210619-WA0045.jpg
IMG-20210619-WA0049.jpg
IMG-20210619-WA0044.jpg
IMG-20210619-WA0043.jpg
 
starlet
mwaka 2000
engine 1300cc
full ac
bei 5.5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/call
IMG-20210619-WA0057.jpg
IMG-20210619-WA0059.jpg
IMG-20210619-WA0065.jpg
IMG-20210619-WA0065.jpg
IMG-20210619-WA0069.jpg
 
subaru ni moja ya gari ambayo ukifunga spare ni umefunga.

pia wametoa gari zao katika model 2 kwa kila gari means kulinganga na matumizi/matakwa ya mtumiaji

kuna turbo cars hizi znampa mtumiaji nafasi ya kukimbia zaidi na nguvu vijana wanamwambia hizi znafaa sana kwa sporting hasa kukimbia na drifting na mengineyo japo kidogo matumizi yake ya mafuta yamezid kidogo.

na kuna non turbo hizi kidogo zimetengenezwa kwa wale wasiopenda mambo mengi ambazo hazina turbo pia hata matumiz yake ya mafuta syo makubwa
Kiongozi naomba unipatie dondoo muhimu za Subaru Forester XT

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi naomba unipatie dondoo muhimu za Subaru Forester XT

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
subaru forester znatambulika zaidi kama subaru forester XT
ni gari ambayo ilitengenezwa kushindana na harrier new model's na baadhi ya SUV.

ni gari stable sana barabarani huku zikiwa na engine normal kwenye mafuta ya 1990CC,yenye kuambatana na body ngumu.

hapa nako hawajafanya kosa wametoa matoleo mawili yenye turbo na ambayo haina turbo hasa kwa wale wapenzi wa drifting na wapenzi wa speed.

kuhusu spear gari hizi spear zmejaa mno sana used na hata mpya kwa affordable price ni moja ya gari zinazofanya vizuri sana kwa sasa hizo XT na subaru imprezza
 
Toyota vitz
mwaka 2002
engine 990
full ac
bei 4.5m
0623953036 whatsapp/calls
IMG-20210624-WA0085.jpg
IMG-20210624-WA0083.jpg
IMG-20210624-WA0087.jpg
IMG-20210624-WA0079.jpg
IMG-20210624-WA0080.jpg
IMG-20210624-WA0082.jpg
IMG-20210624-WA0081.jpg
 
toyota brevis
mwaka 2005
engine 2490cc
full ac
bei 6m

anabadilishana na gari ya aina yoyote

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/callView attachment 1828442
IMG-20210624-WA0091.jpg
View attachment 1828441
 
noah new
mwaka 2004
engine 1990cc
full ac not repainted
bei 7.5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/call
IMG-20210624-WA0106.jpg
IMG-20210624-WA0105.jpg
IMG-20210624-WA0108.jpg
IMG-20210624-WA0107.jpg
 
subaru forester znatambulika zaidi kama subaru forester XT
ni gari ambayo ilitengenezwa kushindana na harrier new model's na baadhi ya SUV.

ni gari stable sana barabarani huku zikiwa na engine normal kwenye mafuta ya 1990CC,yenye kuambatana na body ngumu.

hapa nako hawajafanya kosa wametoa matoleo mawili yenye turbo na ambayo haina turbo hasa kwa wale wapenzi wa drifting na wapenzi wa speed.

kuhusu spear gari hizi spear zmejaa mno sana used na hata mpya kwa affordable price ni moja ya gari zinazofanya vizuri sana kwa sasa hizo XT na subaru imprezza
M16 naweza pata kiongozi

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom