Car4Sale Magari used Tanzania

Car4Sale Magari used Tanzania

Noah SR40
1999 model
Full AC
Compreasive Insurance
Price 7.8m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1536716
IMG-20200814-WA0017.jpg
View attachment 1536718
IMG-20200814-WA0012.jpg
IMG-20200814-WA0014.jpg
IMG-20200814-WA0013.jpg
 
brevis
2500cc
mwaka 2004
bei 6m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1536935
IMG-20200814-WA0053.jpg
IMG-20200814-WA0049.jpg
IMG-20200814-WA0046.jpg
IMG-20200814-WA0050.jpg
 
NAMNA YA KUFANYA GARI LAKO LITUMIE MAFUTA VIZURI SANA KULIKO ULIVYO ZOEA

Leo nataka tuangalie mambo machache ambayo kila mwenye gari anaweza kuyafanya mwenyewe(DIY) ili kuhakikisha gari yake inatumia mafuta vizuri na hivyo kumpunguzia gharama.....Ambazo siobza lazima

Yafuatayo ni mambo ambayo kama ukiyafuata gari yako itatumia mafuta vizuri lakini pia italifanya gari lako kuishi maisha marefu.

1. Accelerate taratibu na pia funga brake taratibu
Usikanyage accelerator pedal kwa nguvu kama upo kwenye mashindano ya formula one na badala yake jenga speed ya gari lako taratibu na pia wakati wa kufunga brake funga taratibu. Kwa kifupi kadri unavyoipa shida(stress) engine yako ndio inavyotumia mafuta mengi.....kuanzisha tena mwendo

2. Tumia mafuta ambayo mzalishaji wa gari alishauri yatumike
Kuna kitu watu wanaaminishana kwamba ukiweka premium inakaa sana kuliko mafuta mengine. Anyway, Kama waliotengeneza hilo gari walishauri uweke premium weka hiyo, kama walishauri uweke unleaded weka unleaded. Kitu kimoja ambacho unatakiwa kukijua ni kwamba haya magari huwa yanakuwa tested kila kitu kabla ya kuja kwa mtumiaji. Na kutoka kwenye hizo test ndio wanashauri kwamba tumia mafuta haya....punguza ujuaji

3. Usizidishe mizigo kwenye gari yako
Jitahidi kupunguza mizigo isiyo ya lazima kwenye gari yako kadri uwezavyo. Kadri unavyozidisha mizigo kwenye gari lako ndio engine inafanya kazi kubwa zaidi na kutumia mafuta mengi....kama gari imeandikwa kubeba watu wanne beba hao hao ,wale wenye gari za mizigo hapa ndio panawahusu sana

4. Hakikisha tairi zako zina upepo(Presha) sahihi
Kama tairi zako zitakuwa na upepo mdogo kuliko unaotakiwa basi tairi hizo zitakuwa zinazungushwa kwa shida kwa sababu ya kuwa na rolling resistance kubwa na hivyo kupelekea engine kufanya kazi kubwa kuliko kawaida na hivyo lazima mafuta yataisha haraka.

5. Weka engine oil iliyoshauriwa kutumika na wazalishaji wa hiyo gari
Kuna mtu engine yake inataka 5W 30 au 10W 30 ila kwa sababu anaona hizo engine oil zinauzwa gharama anaamua kuweka 20W 50 au SAE 40 yoyote. Jana nimemkuta mtu anaweka 20W 50 kwenye IST, aiseee ikabidi tu nicheke. Anyway unapoweka oil yenye grade kubwa kuliko iliyokuwa recommended unaifanya engine yako ifanye kazi ya ziada kusukuma hiyo oil na hivyo kuifanya itumie mafuta mengi zaidi...

6. Hakikisha mfuniko wa tank la mafuta unafunga vizuri na seal yake bado haijachoka
Kama mfuniko wa tank lako haufungi vizuri basi lazima mafuta yatakuwa yanaevaporate(kutoka kama mvuke). Hivyo mafuta yatakuwa yanaisha taratibu hata kama huendeshi gari lako. Hata kama mfuniko unafunga vizuri ila seal yake imechoka basi mafuta yataisha tu.

7. Endesha gari yako katika gear kubwa kadri uwezavyo
Endesha gari yako katika gear kubwa kadri uwezavyo huku ukihakikisha kwamba revolution ya engine yako inabaki chini. Kwa mfano gear namba 5 inaendeshwa na nguvu kidogo kutoka kwenye engine ukilinganisha na gear namba 1.au 2

8. Jaza mafuta kwenye gari lako wakati wa asubuhi
Kama ilivyo kwa physical properties za za vitu vingine. Hata kwenye mafuta ni hivyo hivyo. Nayo husinyaa wakati yanapokuwa ya baridi na kutanuka wakati yanapokuwa na joto. Hivyo ukijaza mafuta wakati wa asubuhi unayo chance ya kupata mafuta mengi zaidi kuliko atakayejaza mchana au jioni. [emoji23][emoji23]

9. Badili air filter katika muda sahihi
Kama air filter yako imejaa uchafu au imeziba, Engine italazimika kufanya kazi ya ziada ili kuruhusu hewa zaidi kuingia kwenye engine na hivyo itatumia mafuta mengi zaidi.

10. Kuwa makini katika kuchagua magurudumu(wheels) ya gari lako
Usichague wheels kwa sababu tu eti yana muonekano mzuri. wheels ni vizuri zikawa nyepesi, ngumu na kikubwa iwe na uwezo wa kusapoti uzito wa gari lako. Na katika hilo Alloy wheels ndio nzuri zaidi kuliko wheels zozote. Pia ni vizuri kuweka size sahihi za magurudumu kwa maana kadri unapoweka magurudumu makubwa zaidi maana yake unaongeza uzito kwenye gari yako na hivyo kuifanya engine itumie mafuta mengi zaidi.

11.epuka kuweka mapambo kama ngao ya chuma kwa mbele watu wanaita ngao ,... Pamoja na carrier juu ya gari , hivi huwa vinasababisha sana ukinzani wa upepo wakati gari likiwa kwenye mwendo !! Gari ilivyo hilo umbo limesanifiwa mazubuti kabisa kuuukata upepo unapoongeza kitu ambacho hakijaundwa kwenye gari .... Matumizi ya tegemea kuongezeka

Kwa leo nikomeee hapo.

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
 
TOYOTA PASSO
Cc 990
Year 2003
Full document
Full Ac
PISTON 3
BEI 5.5milion


Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200815-WA0009.jpg
IMG-20200815-WA0008.jpg
IMG-20200815-WA0007.jpg
IMG-20200815-WA0006.jpg
IMG-20200815-WA0010.jpg
IMG-20200815-WA0010.jpg
 
tunaiuza noah old model
mwaka 2000
1990cc
ac ya kujaza tu
na taa ndogo tu imepasuka bas
bei 5.3m fixed

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200816-WA0047.jpg
IMG-20200816-WA0048.jpg
IMG-20200816-WA0044.jpg
IMG-20200816-WA0040.jpg
IMG-20200816-WA0046.jpg
IMG-20200816-WA0041.jpg
 
Toyota Cami
Mwaka2001
Cc1300
Full ac
full documents
bei 8.7M

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200817-WA0006.jpg
IMG-20200817-WA0008.jpg
IMG-20200817-WA0013.jpg
IMG-20200817-WA0008.jpg
IMG-20200817-WA0014.jpg
IMG-20200817-WA0012.jpg
 
carina ti
1490cc
mwaka 2000
bei 8m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200817-WA0038.jpg
IMG-20200817-WA0036.jpg
IMG-20200817-WA0037.jpg
IMG-20200817-WA0038.jpg
 
TOYOTA IST*
Cc 1290
Year 2003
Colour white
Sports rim
Full Ac
BEI -Milion 7.8


Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20200817-WA0044.jpg
IMG-20200817-WA0042.jpg
IMG-20200817-WA0043.jpg
IMG-20200817-WA0041.jpg
 
Back
Top Bottom