Car4Sale Magari used Tanzania

Car4Sale Magari used Tanzania

Crown royal
Mwaka 2005
Engine 2500cc
Bei 7m tu
0623953036 whatsapp/calls
IMG-20210320-WA0007.jpg
IMG-20210320-WA0009.jpg
IMG-20210320-WA0012.jpg
IMG-20210320-WA0008.jpg

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
MSHALE WA RPM UNAKUWA WAPI UNAPOENDESHA GARI?

Kama gari yako ni nzima kabisa na haina tatizo lolote, mshale wa Engine speed (RPM) Unatakiwa kuwa chini ya 2 (yaani usizidi 2000rpm). Hiyo ni kama tu unaendesha gari yako katika mazingira haya,

1. Upo kwenye tambalale

2. Haujabeba mzigo mzito

3. Haujakanyaga Accelerator kwa nguvu

4. Umewasha Overdrive (O/D)

5. Haupo speed kubwa zaidi ya 100Km/h

6. Dashboard yako siyo mbovu

Kama unaendesha gari yako katika mazingira tajwa hapo juu na bado gari yako mshale wa RPM uko juu ya 2. Then kuna shida mahali.

Shida hiyo inaweza kusababishwa na:-

1. Gari kuchelewa kubadili gear ambayo husababishwa na ubovu wa gearbox. Hili huchangiwa sana na watu kuchelewa kufanya service au kufanya service kwa oil feki za bei rahisi.

2. Tatizo lolote linaloweza kuifanya engine yako kukosa nguvu, matatizo ya aina hii hupelekea gari kuingia gear za mwanzo mapema sana. Mfano katika speed 25Km/h gari inaweza kuwa imeshafika gear namba 3 ila mpaka ifike gear namba 4 ni speed 60. Hapo katikati lazima gari itembee huku rpm ikiwa juu ya mbili.

Kuna faida kubwa mbili za gari kutembea chini ya 2000 rpm ambazo ni

1. Gari inatumia mafuta vizuri zaidi ikiwa inatembea kwenye rpm ya 1500 mpaka 2000

2. Msuguano ndani ya engine unakuwa ni mdogo ikiwa utatembea huku rpm ikiwa chini ya 2000.

*************##############************

KAMA UNAHITAJI GARI USED IWE MKONONI AU YARD TUWASILIANE, TUKUTAFUTIE GARI ZURI MAANA TUNAFANYA DIAGNOSIS NA KULITEST KAMA LIKO SAWA.
 
Faida za kuwasha over drive ni zipi? Na Kuna athari gani ikiwa off?
 
Overdrive ni nini?

Overdrive ni gia katika mfumo wa gari ambayo uifanya gari kuwa katika spidi kubwa huku mzunguko wa injini ukiwa mdogo. Kwa lugha rahisi, OD ni gia ya mwisho inayokupa mwendokasi ambayo inakupa mwendo uliotulia, wa kasi lakini kwa mzunguko mdogo wa injini (RPM). Hii hukuwezesha kuwa na matumizi madogo ya mafuta pengine kwa kasi zaidi.

Over drive ni kama gia ya ziada itakayokupa mizunguko mingi ya driving shaft kwa mizunguko michache ya engine yako. Unapaswa kuitumia ukiwa unatembea na mwendo mkubwa. Faida zake utatumia mafuta kidogo mana gari inakwenda kasi kwa mizunguko michache ya engine. Mfano katka gari ya kawaida yani 180km/h ili ufikishe speed 120km/h basi rpm inaweza kua 4000rpm. Katka barabara tambarare. ila ukiweka over drive unaweza tembea speed hiyo hiyo kwa rpm 2000 katika barabara tambarare.

Utajuaje kuwa Overdrive ipo On au Off?

Pindi uonapo kitaa cha overdrive kwenye dashboard ya gari yako inamaanisha kuwa Overdrive ipo off na pindi Kitaa cha overdrive kisipoonekana basi overdrive ipo on. Overdrive imewekwa Kama option yakutumia wakati ukiwa unatembelea speed chini ya 60km/h.

Matumizi ya Overdrive ni yapi?

Unaweza kuitumia pia ikiwa unataka kuipita gari nyingine, mathalan, kwenye kilima ambapo nawe gari yako inakuwa imepungua nguvu, hivyo unaweza kuiweka off (hapa unakuwa kama umerudisha namba 4), na injini itabadili kasi ya mzunguko, utaiweka ukisha maliza tena matumizi yake.

Eneo lingine, ni mara gurudumu la motaklaa yako linapopasuka. Ikitokea hivyo, unaweza kuondoa OD, huku ukiwa umeacha kukanyaga pedeli ya mafuta, kwa maana ndiyo utakuwa unaomba mwendo upungue pasi na kukanyaga breki. Katika hali kama hii, utakuwa umesaidia kupunguza mwendo wa gari wakati ukithibiti muelekeo wa motokaa pia.

Watu wengine katika hali kama hii huwa wanakanyaga breki. Kufanya hivi ni hatari, maana unasimamisha kabisa mwendo wa gurudumu lililopasuka, na matokeo yake mwendo wa motokaa, badala ya kwenda mbele, itajaribu kutii amri ya gurudumu linalogomea motokaa kwenda mbele na kuamua kwenda upande wa gurudumu lilipasuka, nikiwa na maana kwamba hapo motokaa itakuwa inaacha njia na au kupinduka.

Kwa giaboksi zenye kujibadili zenyewe, ni vema basi tukaziacha OD zijiendeshe zenyewe, maana kuziondoa hatari yake ni kuwa unaweza kusahau kuiweka tena unapokwenda zaidi ya km 70 kwa saa, mfano barabara ya Nyerere, na kusababisha matumizi makubwa ya nishati ya kuendeshea mtambo.

Kitaa cha Overdrive kikiwa hakionekani kwenye dashboard yako maana yake Overdrive ipo Automatic au On na hivyo ndivyo inavopendekezwa na wataalam gari iwe automatic pindi upo mjini na unatembelea speed tofauti (sometimes less or more than 60)..kwa vile overdrive inatumia gear kubwa na speed less than 60km kwahio unaweza kutumia wakati unashuka milima mikubwa
 
Toyota passo
Engine 990cc
Mwaka 2005
Milleage 87k km
Bei 4.5m

je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
tufollow instagram Instagram
0623953036whatsapp/call
IMG-20210322-WA0002.jpg
IMG-20210322-WA0004.jpg
IMG-20210322-WA0005.jpg
IMG-20210322-WA0003.jpg
IMG-20210322-WA0001.jpg
IMG-20210322-WA0007.jpg
 
Noah new
Mwaka 2005
Engine 1990cc
Full ac
Milleage 120k
Bei 6.5m

je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
tufollow instagram Instagram
0623953036whatsapp/call[
IMG-20210323-WA0009.jpg
IMG-20210323-WA0013.jpg
IMG-20210323-WA0010.jpg
IMG-20210323-WA0012.jpg
IMG-20210323-WA0005.jpg
 
Toyota brevis
Mwaka 2005
Engine 2500cc
Bei 5.5m

je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
tufollow instagram Instagram
0623953036whatsapp/call[
IMG-20210323-WA0000.jpg
IMG-20210323-WA0001.jpg
IMG-20210323-WA0004.jpg
IMG-20210323-WA0002.jpg
 
Overdrive ni nini?

Overdrive ni gia katika mfumo wa gari ambayo uifanya gari kuwa katika spidi kubwa huku mzunguko wa injini ukiwa mdogo. Kwa lugha rahisi, OD ni gia ya mwisho inayokupa mwendokasi ambayo inakupa mwendo uliotulia, wa kasi lakini kwa mzunguko mdogo wa injini (RPM). Hii hukuwezesha kuwa na matumizi madogo ya mafuta pengine kwa kasi zaidi.

Over drive ni kama gia ya ziada itakayokupa mizunguko mingi ya driving shaft kwa mizunguko michache ya engine yako. Unapaswa kuitumia ukiwa unatembea na mwendo mkubwa. Faida zake utatumia mafuta kidogo mana gari inakwenda kasi kwa mizunguko michache ya engine. Mfano katka gari ya kawaida yani 180km/h ili ufikishe speed 120km/h basi rpm inaweza kua 4000rpm. Katka barabara tambarare. ila ukiweka over drive unaweza tembea speed hiyo hiyo kwa rpm 2000 katika barabara tambarare.

Utajuaje kuwa Overdrive ipo On au Off?

Pindi uonapo kitaa cha overdrive kwenye dashboard ya gari yako inamaanisha kuwa Overdrive ipo off na pindi Kitaa cha overdrive kisipoonekana basi overdrive ipo on. Overdrive imewekwa Kama option yakutumia wakati ukiwa unatembelea speed chini ya 60km/h.

Matumizi ya Overdrive ni yapi?

Unaweza kuitumia pia ikiwa unataka kuipita gari nyingine, mathalan, kwenye kilima ambapo nawe gari yako inakuwa imepungua nguvu, hivyo unaweza kuiweka off (hapa unakuwa kama umerudisha namba 4), na injini itabadili kasi ya mzunguko, utaiweka ukisha maliza tena matumizi yake.

Eneo lingine, ni mara gurudumu la motaklaa yako linapopasuka. Ikitokea hivyo, unaweza kuondoa OD, huku ukiwa umeacha kukanyaga pedeli ya mafuta, kwa maana ndiyo utakuwa unaomba mwendo upungue pasi na kukanyaga breki. Katika hali kama hii, utakuwa umesaidia kupunguza mwendo wa gari wakati ukithibiti muelekeo wa motokaa pia.

Watu wengine katika hali kama hii huwa wanakanyaga breki. Kufanya hivi ni hatari, maana unasimamisha kabisa mwendo wa gurudumu lililopasuka, na matokeo yake mwendo wa motokaa, badala ya kwenda mbele, itajaribu kutii amri ya gurudumu linalogomea motokaa kwenda mbele na kuamua kwenda upande wa gurudumu lilipasuka, nikiwa na maana kwamba hapo motokaa itakuwa inaacha njia na au kupinduka.

Kwa giaboksi zenye kujibadili zenyewe, ni vema basi tukaziacha OD zijiendeshe zenyewe, maana kuziondoa hatari yake ni kuwa unaweza kusahau kuiweka tena unapokwenda zaidi ya km 70 kwa saa, mfano barabara ya Nyerere, na kusababisha matumizi makubwa ya nishati ya kuendeshea mtambo.

Kitaa cha Overdrive kikiwa hakionekani kwenye dashboard yako maana yake Overdrive ipo Automatic au On na hivyo ndivyo inavopendekezwa na wataalam gari iwe automatic pindi upo mjini na unatembelea speed tofauti (sometimes less or more than 60)..kwa vile overdrive inatumia gear kubwa na speed less than 60km kwahio unaweza kutumia wakati unashuka milima mikubwa
Thanks...
 
Jerry nawza pata Subaru Forester ya 2009 kwa bei gan!? Used kwa tz but or kuagza!?
 
Aliye na uzoefu na Toyota rumion tafadhari naomba anijuze ubora na madhaifu yake,nisijeumia bure,
 
usijali kabisa kuhusu rumion ni gari nzuri,yenye nafasi kubwa ndani na comfortability ya kutosha ikiwa na engene yenye nguvu ya vvti.

pia budget yake siyo kubwa kukingana na ubora kwa 11unapata used ikitumika tanzania si zaidi ya miezi 5 na pia kwa 14m unaweza kupata chases number kabisa
 
Aliye na uzoefu na Toyota rumion tafadhari naomba anijuze ubora na madhaifu yake,nisijeumia bure,
forester zipo mkuu ila zipo aina mbili kuna no turbo hizi zinakuwa hazna mfumo wa turbona pia kidogo hazili mafuta sana ambazo unaweza kuzipata kuanzia 16m na kuendelea

na kuna za turbo hizi kidogo zko chini sabab zna nguvu sana na pia mafuta kiduchu yamezid
 
Toyota ist
mwaka 2003
engine 1290cc
bei 6.8m

Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
tufollow instagram Instagram
0623953036whatsapp
IMG-20210406-WA0001.jpg
IMG-20210406-WA0006.jpg
IMG-20210406-WA0005.jpg
IMG-20210406-WA0004.jpg
IMG-20210406-WA0003.jpg
IMG-20210406-WA0002.jpg
 
Toyota ist
mwaka 2004
engene 1290cc
bei 6.8m

Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
tufollow instagram Instagram
0623953036whatsapp
IMG-20210406-WA0011.jpg
IMG-20210406-WA0010.jpg
IMG-20210406-WA0009.jpg
IMG-20210406-WA0008.jpg
IMG-20210406-WA0007.jpg
 
Toyota raum
mwaka 2003
engene 1490cc
full ac
bei 6m
0623953036 whatsapp/calls
IMG-20210406-WA0044.jpg
IMG-20210406-WA0045.jpg
IMG-20210406-WA0046.jpg
IMG-20210406-WA0047.jpg
IMG-20210406-WA0048.jpg
IMG-20210406-WA0048.jpg
 
[emoji95]Mitsubishi Canter 4D35[emoji95]
C.c 2500
Ton 3.5
Diesel
Fut 16*
Bawaba 8*
Body Ndefu
Colour White
Imported Japan
[emoji91]Price mil 19.5 Neg[emoji91]
0623953036 calls
IMG-20210406-WA0058.jpg
IMG-20210406-WA0056.jpg
IMG-20210406-WA0061.jpg
IMG-20210406-WA0062.jpg
IMG-20210406-WA0060.jpg
IMG-20210406-WA0063.jpg
 
toyota passo
engene 990cc
mwaka 2004
full rimz
inataka 3.3m
0623953036 calls/whatsapp
IMG-20210414-WA0006.jpg
IMG-20210414-WA0007.jpg
IMG-20210414-WA0002.jpg
IMG-20210414-WA0003.jpg
IMG-20210414-WA0004.jpg
IMG-20210414-WA0005.jpg
 
toyota vitz
mwaka 2002
engine 1290cc
bei 5.8m

je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call[
IMG-20210421-WA0003.jpg
IMG-20210421-WA0004.jpg
IMG-20210421-WA0006.jpg
IMG-20210421-WA0005.jpg
IMG-20210421-WA0007.jpg
IMG-20210421-WA0008.jpg
 
haria new model
mwaka 2005
engine 2300cc
bei 12m

je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
IMG-20210421-WA0001.jpg
IMG-20210421-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom