Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Leta gari let gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikija na 8m sipati hii gari?Toyota crown
Engine 2490cc
Mwaka 2006
Full ac
Bei 13.5m
KARIBU KWA,
Mahitaji ya kuuza gari yako
Uhitaji wa kununua gari yako
Tunapatikana magomeni
Tunafanya kazi siku zote za week
tufollow instagram @usiende_japan
Tufollow tik tok @ usiende_japan
0659756647 calls/whatsap
Uko chini sana mkuuNikija na 8m sipati hii gari?
15 napata gari gani Suv ambayo ipo vizuriUko chini sana mkuu
Jiongeze tufanye biashara gari kali sana
Njoo nikupe hii subaru forester non turbo kali sana kwa 16m15 napata gari gani Suv ambayo ipo vizuri
Mbona gari imechakaa hivi hadi kwenye body mkuu rangi tu kwenye bonet imepauka sasa engine si ndio kwisha habari yake?Njoo nikupe hii subaru forester non turbo kali sana kwa 16m
Au nkupe hyo nissan dualis kwa 12m
Hapo tu ndio huwa wanazingua, ndio maana wengi wanapenda kuzipiga picha baada ya kuzimwagia maji wakati wa kuziosha au wakati wa mvua kuficha mpauko wa rangiMbona gari imechakaa hivi hadi kwenye body mkuu rangi tu kwenye bonet imepauka sasa engine si ndio kwisha habari yake?
Huwa sifichi changamoto au kudanganya kwa picha gari iko vizuri sana engine na kila kitu kiko sawa kwa ambae anaezijua hizo gari kwa bei hyo na hako kampauko wala siyo issueHapo tu ndio huwa wanazingua, ndio maana wengi wanapenda kuzipiga picha baada ya kuzimwagia maji wakati wa kuziosha au wakati wa mvua kuficha mpauko wa rangi
UKikuta ubovu wa hivyo ulivyovitaja zaid ya kupauka hlo bonet hapo mbele basi tutakupa bure kabisa hyo gariMbona gari imechakaa hivi hadi kwenye body mkuu rangi tu kwenye bonet imepauka sasa engine si ndio kwisha habari yake?
Ingekuwa crown 8m ningekuja leo kuinunuaHuwa sifichi changamoto au kudanganya kwa picha gari iko vizuri sana engine na kila kitu kiko sawa kwa ambae anaezijua hizo gari kwa bei hyo na hako kampauko wala siyo issue
Still nakumbuka budget yako ikitokea ya bei hyo sitosita kukutumia usijaliIngekuwa crown 8m ningekuja leo kuinunua
Fanya hivyoStill nakumbuka budget yako ikitokea ya bei hyo sitosita kukutumia usijali