Huko nyuma,watu wamepigwa sana na haya mashikaji. Sasa hivi,mtu anaejielewa,hawezi hangaika nao. Labda wa vijijini tu,waliojnjaruka,na ndo wengi,haji kununua bila fundi. Sasa wewe,mara milioni kumi na nini,mara nini,wakati kuna wengine ana kazi ya kukusanya data,anakukutanisha na mwenye nyumba,bei mnaelewana. Wa hivi,wamebaki tu kwenye majengo na vyumba tu. Japo nao wanahaha. Leo mitandaoni unaulizia chumba,na unapata. Mtu unamtoa chochote,anaridhia. Ile sijui kodi ya mwezi,daadeki. Watu wanakwenda kurudi vijijini uzeeni hata nauli hakuna.