Magari "used" ya kuepuka

Magari "used" ya kuepuka

Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM
Bora x3 kuliko x5. Kwanza kabla ya kununua haya magari ujue series za engine zinazofit kwenye hiyo gari na engine ipi iliyofanikiwa kwenye hiyo gari kisha nunua hiyo gari ikiwa fitted na hiyo engine iliyofanikiwa.
 
List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa
Soma heading ya Tangazo uelewe,punguza ujuaji.
 
Kuna jamaa yangu alinitumia sms " achana na mawazo ya kununua tiguan"
Naomba kumshukuru sana
 
List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa
Wenzetu wamefanya kwa vipimo sisi tunatumia macho ndipo ilipo tofauti
 
Back
Top Bottom