Attainer Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 433
- 790
Bora x3 kuliko x5. Kwanza kabla ya kununua haya magari ujue series za engine zinazofit kwenye hiyo gari na engine ipi iliyofanikiwa kwenye hiyo gari kisha nunua hiyo gari ikiwa fitted na hiyo engine iliyofanikiwa.Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM
Shida ya misfire pamoja na system lean mkuuIna shida gani mkuu?
Pole bro, chukua Mazda CX5 hutojutaShida ya misfire pamoja na system lean mkuu
Shukrani mkuu. Kama iko bora nitaichukuaPole bro, chukua Mazda CX5 hutojuta
List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa
Iuze ununue magari pendwa toka Japan!Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM
unyama sana.napitaga town nOna wana wanavojitoq ufahamu. toyota is for africaNaona Toyota lovers wanatabasamu tu.
Aaah okShida ya misfire pamoja na system lean mkuu
Umekaririshwa Toyota tu!Ndio ujue kuwa Toyota ni gari uhakika, hilo halina ubishi.
Tiguan ina shida ganiKuna jamaa yangu alinitumia sms " achana na mawazo ya kununua tiguan"
Naomba kumshukuru sana
Wenzetu wamefanya kwa vipimo sisi tunatumia macho ndipo ilipo tofautiList ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa
Ni kwl aisee unakuta gari mbichi kabisa unaambiwa 12.5mHivi Nissan Dualis zina shida gani mbona bei kitonga sana huku mtaani!
Sijaona Mitsubish Pajero.