Magari ya bei rahisi na picha zake

Magari ya bei rahisi na picha zake

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
526
Wadau nawaletea huu uzi kwa mambo mawili,kwanza elimu na kujua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa magari,wajuvi wa mambo tunaomba mtuletee mnachojua na fact kamili ikiwa na picha itapendeza zaidi.....
 
Hii inapatikana hadi kwa million 3 baada ya makato ya kodi.
kigari.jpg
 
Niliona wanaojua hawaanzishi...nikaona nitumie fasihi kuanzisha hii mada,watakuja tu mwamba
Kha,,,,!!mwamba minilijua ww ndo unatuletea nondo kuhusu hii mada ya magari chief,,?
 
Nilitaka tukaribishe majamaa wataalamu
Na mimi nilidhani umeamua kufuata nyendo za akina Njaliko, Master of the game, Tax payers, nk kuja kutuuzia magari kwa bei nafuu zaidi, kumbe......!
 
Back
Top Bottom