Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

Job kuna mtu anayo ina 6 months. Ni nzuri muonekano na ndani ipo poa.
Sema naona bei yake imesimama ila ningekua fresh ningeichukua.
Mkuu hiyo prius 2010 mbona cc 1,700 zake nyingi sana au haina shida ukilinganisha na Aqua ambayo cc1500 ni ipi bora.Alafu nimecheki mtandaoni naona gari zipo mpaka za million 9,10,13,15 ni kwamba magari yameshuka bei au watu bado wana hangover ya kiberiti IST๐Ÿ˜„
๐Ÿค

Ila Aqua nyingi KM zimesonga embu tupo shule maana wabongo tushakariri mambo ya Km sio mchezo.
 

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†Naona ofa za mwisho wa mwaka ndo hizi bado zipo sana๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Wazee acheni kununua viberiti used(IST ) za wabongo namba D ila unaambiwa imetembea 90KM๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Sikia wenyewe wanakwambiaje kuhusu kumiliki USED HYBRID,,,,"UKITAKA KULA KUBALI KULIWA"
 
Magari mengi ya HYBRID betri inakuwa na survival time ya 10yrs au approximate 150,000KM.Mnadani huko magari mengi yanasoma 100,000Km and above hapa kuna kazi ya kubet๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Mad Max
 
Hao TRA ndio adui wa watanzania kuingiza vitu current kutokana na kodi zao zisizo na tija.

Ni ajabu watu kuwa proud kutumia mitumba iliyokuwa backdated miaka 20+.
Ni sera za chama tawala !

Sa100 mi5 tena!
 
1. Kuhusu Aqua na Prius, kwanza kumbuka zote ni Prius kasoro Aqua inaitwa Prius C (City). Imenyimwa power kidogo, zote zinatumia hybrid system moja. Hapo chagua muonekano Aqua ni ndogo wakati Prius kubwa. Ila Aqua kwa misele ya mjini itakua more efficient.

Kama unanunua Aqua yenye ushuru mzuri ni 2015 ina Mil 7.5 so ukipata ya Mil 10 SBT/BF unapata cheaper.

2. Magari yameshuka huku kodi zimepanda.

3. Kuhusu kilometa za Hybrid tushawahi ongaelea hii kitu:

Hybrid ya zamani yenye kilometa chache ni ya kuiogopa kuliko hybrid yenye km nyingi. Kwasababu ya vitu viwili:

Moja: Possible wamerudisha nyuma km. Imagine unakuta gari la 2010 hafu km chini ya 100k inamaanisha nn?

Pili: Kama halijarudishwa, hybrid haipendi kukaa inapenda kuendeshwa. Namaanisha kinachoua battery ya hybrid moja wapo ni kukaa muda mrefu bila kurecharge na kudischarge.

Kwahiyo:
Chagua hybrid ya miaka ya karibuni kadri uwezavyo.

Kilometa zisiwe issue sana kwa mfano mimi gari la hybrid lenye 150k ningeagiza bila wasiwasi.

Umri wa kuogopa ni kuanzia miaka 15+ labda maana miaka hii ndio hybrid battery zinakua zimemaliza warranty na life span nyingi zimo humo
 
Magari mengi ya HYBRID betri inakuwa na survival time ya 10yrs au approximate 150,000KM.Mnadani huko magari mengi yanasoma 100,000Km and above hapa kuna kazi ya kubet๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Mad Max View attachment 3207388
Sasa mkuu miaka 10 ndio magari yetu aya. Tutaweza kweli aya 2016 kuja juu?

Dah itabidi tukomae na Prius za 2010 kibishi.
 
Mkuu Mad Max kwenye hii Honda Fit na Toyota Aqua ipi unaipa marks nyingi kwenye fuel consumption na gharama ya spare parts na interior size
Bila kujiuliza mara mbili, nitachagua Fit ila Aqua ndio rafiki zaidi kwenye mafuta.

Aqua kwenda 35+ km/L kawaida wakati Fit mostly 28+ km/L

Ila mbali na mafuta, muonekano una matter na vingine mapendeleo binafsi.
 
Sasa mkuu miaka 10 ndio magari yetu aya. Tutaweza kweli aya 2016 kuja juu?

Dah itabidi tukomae na Prius za 2010 kibishi.
PRIUS nimeisearch naona inang'aa kidunia ila ndo hivyo nimezurura kwenye mnada wa BE FORWARD siku ya juzi ila sijaona zenye 60,000Km angalau mengi ya magari ya hybrid ni 100,000km plus.Hii inaonyesha haya magari wenzetu wakiyanunua huwa wanakaa nayo sana๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.Na hii ni ishara nzuri kuwa ni magari mazuri.

Shida bongo watu wengi WANASOMEA vitu huko vyuoni kwa kufata mkumbo ila ingekuwa watu wanajua hela ilivyo huku kwenye ufundi UMEME WA MAGARI kwa nchi yetu huku ndo utajiri ulipo.Watu wanogopa kuagiza ya magari ya umeme BONGO hakuna MAFUNDI COMPETENT.

Ningekuwa na uwezo ningejisomesha hii fani maana siku za usoni 2030 huko EV ndo habari ya mjini.
 
Bila kujiuliza mara mbili, nitachagua Fit ila Aqua ndio rafiki zaidi kwenye mafuta.

Aqua kwenda 35+ km/L kawaida wakati Fit mostly 28+ km/L

Ila mbali na mafuta, muonekano una matter na vingine mapendeleo binafsi.
Ni kweli, kwa muonekano Aqua ina sura/shape mbaya kishenzi...

Sijui kwa nini gari nzuri vile inakua na bad moulding... Wangeimodoa ikawa shape kama Mazda Verisa (au kama Suzuki Swift) watu wangenunua kishenzi.

Kila napoiona kwa road sitamani hata kuitazama twice.
 
Hahaha yaani sijawahi ipeda ule muonekano ila ni moja ya hybrid imara sana kuwahi kutokea.
 
Vyuoni mfano NIT na VETA, DIT ndio wangeanza kuboresha mtaala wa hivi vitu.
 
Vyuoni mfano NIT na VETA, DIT ndio wangeanza kuboresha mtaala wa hivi vitu.
Nchi hii WASOMI WA MCHONGO hawana kitu zaidi ya kunyemelea TEUZI๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

Shangaa BY 2035 NI SERA YA KIDUNIA HAMNA KUBEMBELEZANA BY THAT TIME.KILA NCHI INATAKIWA IWE IMEHAMIA KWENYE MAGARI YA EV ILA LEO 2025 NCHI ZA AFRICA BADO ZIMELALA USINGIZI MZITO๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

IKIFIKA 2032 NDO WANAKURUPUKA WANAANZA KUTOA CERTIFICATE IN EV MECHANICS AND TECHNOLOGY๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

KUFIKIA 2027 MITUMBA YA EV ITAKUWA IMEANZA KUNOGA KATIKA BARABARA ZA BONGO.HAPO TECHNICIAN KUTOKA CHINA WATAJICHUKULIA TENA HELA NA AJIRA ZA BURE KAMA WALE WACHINA KATIKA GAURAGE ZA TABATA WANAVYOJICHUKULIA HELA KIULAINI.

MAFUNDI MAIKO NA GAURAGE ZAO ZA CHINI YA MTI WATAKUFA NA NJAA HUKO MBELE YA SAFARI.
 
Wenzetu wa Hybrid service mnafanyia wapi? Ili na sie tununue. Lasivyo mafundi nyundo wetu hawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ