Magari ya kubebea wanafunzi ni janga la taifa

Magari ya kubebea wanafunzi ni janga la taifa

Kama ni hivyo basi sheria zetu pia bado zinamapungufu
Kwani abiria ni nani? kisheria
Ni tatizo kwakweli ina maana madereva wa mabasi ya shule hawana class C ?
Uwiiii Mungu wangu [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
wengi wao hawana labda vibabu vilivyostaafu udereva vinakuwa vinapiga daiwaka, kikifikisha watoto kinapiga uji kinachapa usingizi kwenye gari
 
wengi wao hawana labda vibabu vilivyostaafu udereva vinakuwa vinapiga daiwaka, kikifikisha watoto kinapiga uji kinachapa usingizi kwenye gari
Madereva wengi ni sawa tu wana leseni "feki" Wengi hatujui alama za barabarani
 
Back
Top Bottom