A
Anonymous
Guest
Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe.
Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai..
Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka.
Tunaomba Serikali itusaidie kwa hili wananchi.
AHSANTE