A
Tuko kwenye zama za unanijua Mimi ni nani?Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe.
Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai..
Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka.
Tunaomba Serikali itusaidie kwa hili wananchi.
AHSANTE
Weka picha tuone, seeing is believingNatokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe.
Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai..
Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka.
Tunaomba Serikali itusaidie kwa hili wananchi.
Mkuu samahani hapa tatizo naona ni ubora wa nyumba zenu. Hizo trucks aka mende zipo nchi nzima zinafanya kazi tena kuna zile FAW au HOWO ndio nzito zaidi lakini hazibomoi nyumba sana sana zinaharibu barabara za moram.Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe.