empress
Member
- Sep 14, 2013
- 39
- 19
Wapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya Toyota.sijajua tatizo ni nini..
Mimi kuna gari la Nissan Primera nalipenda na ninatamani kulinunua ila nimeambiwa magari yote ya Nissani kipengele,nimewauliza hao wanaosema hivyo kama wamewahi kumiliki Nissan wanasema na wao waliambiwa hivyo..so nimeona nisije nikaacha kitu cha maana kwa ajili ya maneno ya kuambiwa..
Maana akili za kuambiwa,changanya na zako[emoji16]
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app