Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 776
- 1,132
Wadau hii imekuwa kero, mtu umekaa mahali unapata chakula unasikia harufu mbaya na kuanza kuhisi kuna mtu amepumua. Baadaye unagundua ni gari linavuta choo kwa jirani.
Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu wamepumzika na kunakuwa na shughuli chache.
Nawasilisha
Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu wamepumzika na kunakuwa na shughuli chache.
Nawasilisha